Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Acha fix.Hata usipotumia chombo chochote Cha mawasiliano labda usipande hata basi
Mabasi Yana kamera ndani picha hurushwa Kwa vyombo vyote vya Usafiri utadakwa tu
Ukitumia Usafiri private Traffic wote wanakuwa na picha ya mhalifu ukisimamishwa gari watajifanya wanakagua ushushe vioo vyote wanakagua Hadi kwenye buti nk kumbe wanakuwinda mwenyewe
Chimbo salama ni Mozambique.Ukitaka upotee unapotea na hakuna wa kukukamata. Hata ulaya leo hii watu wanafanya matukio na wanapotea na hawajulikani walipo na wako hai sembuse Tanzania.
Vijana wanafanya makosa, wanatumia simu kuwasiliana na ndugu na jamaa zao na kuwapa location wako wapi wanafanya nini inakua ni rahisi kukufuatilia.
Ukitaka upotee kwanza achana na vifaa vya kielektroniki. Acha kuwasiliana na ndugu na jamaa wasijue uko wapi na unafanya nini. Ndugu zako wasiliana nao kwa facebook tu na sio normal call.
Kaa miezi kadhaa watafte kwa simu ya mtu mwingine wajulishe uko hai na siku hiyo hiyo hama hilo eneo ama mkoa.
Njia ya pili ni kupotelea nchi jirani. Kwa mfano kwa Tanzania kimbilia Kenya ndio rahisi. Potelea huko kabisa.
It's a one off..... sio kila siku, unapiga tu mara moja simu ikienda kwa mkeo mnakubaliana kuwa asajili line kwa majina tofauti na utakua unampigia huko tu na wewe unampigia kwa simu za vibandani au washkaji randomly!!Dah; kwa "ujanja" ulioeleza hapo utadakwa mapema sana. Uhusishe wote hao hadi akina Mangi uwe salama? Hamna kitu kama hiko.
Two Major Types of Investigations:-Hakuna kitu kinaitwa Security Investigation. Hio ni Criminal Investigation
Mfano wako niliuelewa vizuri sana Chief. Point ni kwamba, hata utumie simu na/au line nyingine still utawasiliana na wazazi au ndugu wa karibu.Ulielewa mfano wangu lakini mkuu?
Mfano wangu ulikuwa ni ndugu mmoja unaewasiliana nae akawa na line tofauti ambaye si yake na simu tofauti.Kwa kuwa kwa upande wa unaowasiliana nao hawatabadili lines zao; vyombo vya usalama vita-track ni akina nani
Labda...uwezo wako na wake ni tofauti sana...kuna kiwewe kupagawa nà uoga ....pia ukiishiwa hela hizo zig zag kaka hutaweza....ukipata shida mara nyingi unakuwa hata akiba hamna.....sikiatu ninachokiongea nakijua.....ukitumia simu tu umèliwa....mtu unaempigia wanamchukua wanaweka safe house zao hata mwezi wanasubiri upige tu hapo hapo wana piga simu sehemu uliopo na picha yako.....sikia tuuu majambazi huwa wanakamatwa njia nyingi sana.....kumbuka ndio kazi yao daily.....uzoefuuUnabadili location kama Osama.... yaani mfano upo singida mjini basi unaenda hadi shelui kupiga simu tena ya maelekezo tu kuwa wakutumie pesa. Unaenda itolea Kiomboi alafu unarudi hadi Ikungi!! Ukienda zig zag hivyo na ukatumia mtu wa pili kuongea na mtu wa pili wa ndugu yako basi hawakudaki.
Pia mnatumia calls sio SMS, ni rahisi ku intercept messages kuliko calls unless wawe guaranteed utapiga. Sasa unaweza tumia namba geni ukapiga namba ya dukani kwa mangi jirani na kwenu apeleke simu uongee na ndugu yako. Hapo hawakudaki hata iweje maana sidhani polisi wana database ya number zote hadi street level, data analysts wenyewe hawazidi 10 ndio sembuse kutrack number za mtaa mzima?
Duh! Ha ha ha! Hiyo ya mkeo au ndugu kusajili line nyingine kipindi hicho muhimu ni bonge la tip kwa vyombo vya usalama - never do that!It's a one off..... sio kila siku, unapiga tu mara moja simu ikienda kwa mkeo mnakubaliana kuwa asajili line kwa majina tofauti na utakua unampigia huko tu na wewe unampigia kwa simu za vibandani au washkaji randomly!!
Yaani kote huko ni one off ili kuepuka patterns kusomeka.
Ukiishiwa tu umeishaaa.......Mfano wangu ulikuwa ni ndugu mmoja unaewasiliana nae akawa na line tofauti ambaye si yake na simu tofauti.
Na muhalifu akawa anatumia line si yake. Acha kuingiza wazazi hapo, huyu ndugu anafikisha taarifa kwa mdomo tu .
Vipi wanaweza kukukamata?
Kuna scenarios kadhaa - namba mpya mbili zimesajiliwa recently then zikaanza kuwasiliana regularly kati ya hizo tu.Mfano wangu ulikuwa ni ndugu mmoja unaewasiliana nae akawa na line tofauti ambaye si yake na simu tofauti.
Na muhalifu akawa anatumia line si yake. Acha kuingiza wazazi hapo, huyu ndugu anafikisha taarifa kwa mdomo tu .
Vipi wanaweza kukukamata?
Kuku na Njiwa Wote ni Ndege tu.Muna si jina la kinyiramba mkuu, ni jina kinyaturu hukohuko singida kwa watani zako. Ni kweli intelijensia ya polisi imekua, iwe hivyo hivyo hata kwa wanaofanya mauji kwa raia wa kawaida na kutokomea kusikojulikana wakamatwe, pia intelijensia itumike na kwa wahalifu wengine
Ndipo utakapojua with vivid example kwamba umaskini ni mbaya sana.Ukiishiwa tu umeishaaa.......
GENTAMYCINE
GENTAMYCINE
Nimecheka mpaka basi Mkuu.Mkuu, unazungumzia Tanzania hii hii? Ni wangapi wanajua hata crypto?
Wapi nimesema Kato ni Mnyiramba? Nimesema Afande Muna ni Mnyiramba.Acha ujuaji WA kijinga , kuna Kato mnyiramba ?
Unajua maana ya kina Kato kwa kihaya na luganda ?
Halafu huyo kijana si alikuwa ameshakamatwa kitambo ?
Si wewe uliwahi kusema humu kuwa ameshakamatwa alipokuwa anaenda kufuatilia pikipiki yake iliyoibiwa huko Mwenge ?
Ni njia nzuri ,labda hujamwelewaDuh! Ha ha ha! Hiyo ya mkeo au ndugu kusajili line nyingine kipindi hicho muhimu ni bonge la tip kwa vyombo vya usalama - never do that!
Watakuacha uwasiliane naye mara mbili tatu then utaitwa kusaidia uchunguzi. Nakuhakikishia utaeleza kila kitu. Never try that!
Polisi wanaweza kutrack namba mpya zilizosajiliwa nchi nzima?Kuna scenarios kadhaa - namba mpya mbili zimesajiliwa recently then zikaanza kuwasiliana regularly kati ya hizo tu.
Namba yenye usajili wa zamani then ikaanza kuwasiliana na namba mpya iliyosajiliwa hivi karibuni ambayo inahamahama!
Namba mbili zenye usajili wa zamani ambazo hazikuwahi kuwasiliana then ghafla zikaanza kuwasiliana na mojawapo kati ya hizo inahamahama!
Mbona ni bonge la tip kwa Polisi Mkuu! Huyo mwenye namba ambayo haihamihami ni kiungo muhimu sana kukamatwa wako. Never try that.
hiyoo ndo mistake wahalifu huwa wanafanya. sema mkuu unajua tatizo ni hela unakuta kaishiwa na hana chochote na ni mkoa wa watu. kingine damu ya mtu ni changamoto huwa inalia pia familia ya mfiwa walikuwa wanaomba Mungu apatikane.Tatizo la Rasta katumia simu na ukitumia simu kwenda kwa mnara ulio karibu ya eneo aliopo.
Sasa hapa polisi ndio wanajua Rasta yupo eneo gani nao wanatuma picha yake kwa polisi wa eneo husika.
Kama Rasta ange wacha wapigia simu watu wake wa karibu mbona asinge patikana milele.