Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

We jamaa si ulitwambia alikamatwa siku iliyofuata?
 
Hapo nunua line ya mchongo isiyo na usajili wa majina yako. .tafuta chaka mikoa ambayo ina shuguli za madini na uvuvi (wageni huwa wengi) hvyo hakuna atakayehisi ugeni wako ..jitupie huko kisha kata mawasiliano na mtu yoyote kwa muda wa mwaka mmoja.
Utakamatwa tu…
 
Sahihi
 
Ukipiga simu mnara unasoma, mpaka movement zako, zinaonekana
 
Mbona hakuna sehemu nilipokupinga isipokuwa nimejazia tu nyama kuwa hizo pia ni miongoni mwa tabia za hao Watu wawili "Introvert na Extrovert"?

Afu inshu ya kutumia akili badala ya hisia Kiongozi yeyote haswa wale "Charismatic Leadership people" huwa wana huo upeo automatically maana hekima ni kipaji.

Yani kuna mahali hufanya maamuzi ya papo kwa hapo, kuna mahali hukaa kimya, kuna mahali hufanya maamuzi baada ya muda kupita isipokuwa hucheza na nyakati na mazingira husika kulingana na chanzo cha tatizo na uzito wake.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ndio upumbavu wa wahalifu wa kiswahili. anatenda jinai na anaendelea kutumia simu (handset) ile ile. Hata akibadili line IMEI inaendelea kusoma chip mpya. Pia, waki track call list yako it means wataangalia namba mpya ambayo inapiga mara kwa mara hizi call lists zako, hapo lazima udakwe tu
 
Kitu ambacho watu hawajui ni kwamba kama hauna resources za kutosha basi kuimbia Serikali ni ngumu sana
Hata uende chaka gani watakudaka tu coz hauna pesa wala enough information on how to become a ghost
Solutions ni tatu tu..
Kaa mbali na matatizo, Jipeleke mwenyewe kituoni au Jiue
 
Lakini mafisadi, wala rishwa , majambazi, watumia rasilimali za umaa na wasiojulikana wao wanashindikana.

This never stick in my minf.
 
Hiyo ya mkeo au ndugu kusajili line nyingine kipindi hicho muhimu ni bonge la tip kwa vyombo vya usalama -
Yaani kusajili line mpya ya majina ya muuza genge wa vingunguti ili mkeo/ndugu atumie kupokea simu za kutoka katavi ambazo ndio mtuhumiwa kajifichia huko atadakwaje? Hakuna line ya usajili wao, simu inapokelewa randomly sokoni na kuachwa sokoni (kiswaswadu) wanapata clue gani? Unless wawe wanafuatilia moves za ndugu na jamaa zako wote 30+!! Which is impossible
 
Watu wakiamua kufanya kazi lazima utadakwa...ndomana kuna interpol
Ila nashangaa mtu kama a.masawe alitoka nduki hakuna unfamiliarity wowote uliyofanyika kwake

Ova
 
Hiyo ni digital footprint, Osama alisurvive muda mrefu kwa kuwa hakutaka kutumia digital pathways

Kitendo cha kuwasiliana na ndugu ambao nao wako monitored lilikua kosa ,huo mtindo wa kufuatilia minara waliutumia sana kuwanasa suspects na wapangaji wa mauaji ya kibiti
 
Wale "wasiojulikana" vipi??
Wale "waliompoteza" Ben Saanane vipi??
Wale "waliopoteza" mwandishi wa mwananchi vipi??
 
Huyo kijana alitakiwa abadilishe muonekano. Abadili life style. TZ kuna machaka ukienda kukamatwa ni hadithi
Nimewahi fika eneo moja huko chunya kwa wachimba madini. Lile eneo hakuna serikali, kuzulumiwa shimo dk moja tu unaweza kula na kisu juu
Lile eneo kuna watu waliofanya misala huko mijini na kwenda kule kujificha. Inasadikika wale jamaa hawana ROHO. Ukijitusu kule umeisha.
Dogo atakuwa kazoea maisha ya mjini.
Sema kubadili life style huwa ni ngumu hasa kama unatafutwa na dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…