akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,737
- 1,102
Kwanini unafurahia kifo cha huyo Afisa wa jeshi?Furaha yangu ni kwamba Muna hatofufuka kamwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unafurahia kifo cha huyo Afisa wa jeshi?Furaha yangu ni kwamba Muna hatofufuka kamwe.
Serikali ina mkono mrefu sana,,na ni kwl kwamba inategemea fedha pia kudaka wahalifu.Toka zamani wakiamua jambo hawashindwi.
Changamoto ni ukosefu wa rasilimali hasa fedha.
KIbri na dharau hazivumiliki katika jamii.Kwanini unafurahia kifo cha huyo Afisa wa jeshi?
Lengo ni kudhibit hawa.maafisa wa Jeshi wasije uraiani.Kukamata na kushitaki wahalifu. Lengo ni kudhibiti tukio kama hilo lisijirudie tena siku za usoni. Sio kufufua marehemu eboo
Wachache sana wanaoielewa mbinu hii....hasa mafiaKwann mkuu
Marahaba Bichwa , mbona umeninyima pilau sasa la mwaka mpyaDokta shkamooo!
Nilikupigia ila haukupokeaa 🙈🙈🙈Marahaba Bichwa , mbona umeninyima pilau sasa la mwaka mpya
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hata waliomuuwa bilionea msuya kule Arusha walikamatwa huko Kigoma kupitia simu zao... Pia muuza ngada maarufu duniani Pablo Escobar, naye alidakwa baada ya kufuatilia simu ya mke wake...Nahisi tu sina uhakika kwamba, ile laini yako ya kwanza wanaangalia namba ulizokuwa unawasiliana nazo sana au ikibidi zote wanazitegeshea. Wewe utajifanya kubadili namba na kuwapigia watu wako kumbe namba zao zipo kwenye mfumo wanakusikiliza tu!
Ukitaka usipatikane, acha kutumia simu kajifiche huko ndani ndani!
Anhaa nitajutahidi siku nyingine kupokea simu yako kwa wakatiNilikupigia ila haukupokeaa [emoji85][emoji85][emoji85]
Point!Lakini amepata alichostahili. Angekua mbabe angepambana na mauti.
Ni kweli, huyo Mwanajeshi amevuna alichopanda.Point!
Watu wengi wanamtupia lawama Rasta lakini kwa kesi hii ilivyo akipata wakili mzuri hatafia jela!
ULiiahi vizuri kwa sababu haukuwa na kesi kubwa.Wtu tumeenda visiwani huko na tumeishi vizuri tuu hata redio hazishiki, mimi naamini Tz kuna machimbo mengi ukifanikiwa kufika hawakupati ukituliza wenge.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Furaha yangu ni kwamba Muna hatofufuka kamwe.
We jamaa bana kumbe huelewi chochote kuhusu hili?Kuna Mwamba nae kanipa Elimu kama hii yako Mkuu. Unataka kuniambia asingetumia Simu kamwe asingedakwa?
Ina maana Polisi wana Mtambo wa Kusoma Mnara ulioko na kisha wakaja Kukudaka kama Kuku Uvunguni mwa Kitanda?
Naomba kujua hasa Polisi hufanya nini ili Kumkamata Mhalifu aliyekimbia kwani hata Mimi sikutegemea huyu Dogo Kato Rasta kuwa angekamatwa wakati nilisikia kuwa alikuwa akitaka Kutorokea nchini Msumbiji.
😂😂😂 nakubali.ULiiahi vizuri kwa sababu haukuwa na kesi kubwa.
Uliona hilo ni chimbo kwa sababu haukuwa na kesi nzito.
Siku ukiwa na kesi ngumu kama ya mauwaji huko kote utapaona kama mjini DASLAM.
Ni vile tatizo linatokea, na unakua hujajipanga.Kuna Mwamba nae kanipa Elimu kama hii yako Mkuu. Unataka kuniambia asingetumia Simu kamwe asingedakwa?
Ina maana Polisi wana Mtambo wa Kusoma Mnara ulioko na kisha wakaja Kukudaka kama Kuku Uvunguni mwa Kitanda?
Naomba kujua hasa Polisi hufanya nini ili Kumkamata Mhalifu aliyekimbia kwani hata Mimi sikutegemea huyu Dogo Kato Rasta kuwa angekamatwa wakati nilisikia kuwa alikuwa akitaka Kutorokea nchini Msumbiji.