Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Toka zamani wakiamua jambo hawashindwi.
Changamoto ni ukosefu wa rasilimali hasa fedha.
Serikali ina mkono mrefu sana,,na ni kwl kwamba inategemea fedha pia kudaka wahalifu.

Kuna siku niliwahi kukutana na mrembo mmoja mbeya mjini,,tukapanda bus moja kuelekea mjini Daresalaam.,
Mtoto alikuwa mrembo haswa na kila mtu kwenye bus alitamani angepata bahati ya kukaa nae siti moja.

Basi nikamwaga sera zangu za mapenzi mrembo akanielewa,,
kwa ahadi atanitafuta one day baada ya kumaliza mambo yake fulani hapo mjini Daresalaam,,

Baada ya siku kadhaa alikuja maghetoni,,

ndy alipofunguka kwamba yeye ni mmoja wa watu ambao likitokea tukio fulani wanasambazwa inchi nzima kufatilia jambo hilo,.,,kwamba police inamwaga warembo wa kila aina mitaani na wanapeana mawasiliano muda wote,,24/7 hadi kieleweke.
Mfano wakisikia muhalifu yupo mkoa B au A watamwaga warembo huko kila kona bila kugundulika..

Mfano mauaji,
Wizi mkubwa nk.

Kwamba hao warembo wanapewa fungu na serikali kuingia meneo yote ya starehe,,bars, clubs nk ,,hadi wafanikishe kumkamata mtuhumiwa.

Yule mrembo baada ya kunambiya maneno yake genye yote iliniisha hapo nikaamua kuachana nae..hyo ni baada ya kumpa kichapo cha mbwa koko..
Kwa kifupi alikuwa NYOKA..na sio vizuri kuishi na NYOKA chumba kimoja..

Haaminiki tena..haswa kwa sisi vijana Mission town
 
Kukamata na kushitaki wahalifu. Lengo ni kudhibiti tukio kama hilo lisijirudie tena siku za usoni. Sio kufufua marehemu eboo
Lengo ni kudhibit hawa.maafisa wa Jeshi wasije uraiani.
Waheshimu walipa Kodi kwa kuleta ubabe
Watafanikiwa.
Ila zaidi ya hapo ni lawama tu
 
Hizi cases za kuuwawa kwa askari hususani JW tuzitarajie sana kwakua sikuhizi wamekua wakijiona miungu watu uhu mitaani huku raia nao hawapo tayari kuishi kinyonge.

Mtu akishavaa kile kitenge anajiona ana mmudu kila raia, mbaya zaid wanaleta hizo mbanga mpaka kwenye viwanja vya starehe utasikia" unanijua mimi nani? " What the f......
 
Nahisi tu sina uhakika kwamba, ile laini yako ya kwanza wanaangalia namba ulizokuwa unawasiliana nazo sana au ikibidi zote wanazitegeshea. Wewe utajifanya kubadili namba na kuwapigia watu wako kumbe namba zao zipo kwenye mfumo wanakusikiliza tu!

Ukitaka usipatikane, acha kutumia simu kajifiche huko ndani ndani!
Hata waliomuuwa bilionea msuya kule Arusha walikamatwa huko Kigoma kupitia simu zao... Pia muuza ngada maarufu duniani Pablo Escobar, naye alidakwa baada ya kufuatilia simu ya mke wake...
 
Point!

Watu wengi wanamtupia lawama Rasta lakini kwa kesi hii ilivyo akipata wakili mzuri hatafia jela!
Ni kweli, huyo Mwanajeshi amevuna alichopanda.

Wanajeshi wengi sana Wana tabia hii mbaya ya ubabe na dharau kubwa dhidi ya raia. Hata Askari Polisi na wale "Wavaa Kaunda Suti" nao wanapenda sana kujikweza na kujiona wao ni " watu bora zaidi na wa muhimu zaidi" katika nchi kuliko watu wengine. Wengi wakiwa barabarani hawataki kuzingatia Sheria za Usalama Barabarani, wanaendesha magari yao hovyo hovyo tu kwa kuvunja Sheria wazi wazi. Ukimfuata na kumuuliza kwa nini anavunja taratibu za usalama barabarani utaona anakujibu kwa dharau na kukufokea na Kisha anakuuliza "unanijua Mimi nani?"

"Acha waendelee kuvuna matunda ya kile wanachopanda."
 
Huyo hakujipanga ila ukijipanga mbona chap mbn dar hapa hapa unaishi hata miaka mana unaongia ndichi una muajir mtu awe anakuletea vtu we na bando likiwepo bc kesi imeisha
 
Wtu tumeenda visiwani huko na tumeishi vizuri tuu hata redio hazishiki, mimi naamini Tz kuna machimbo mengi ukifanikiwa kufika hawakupati ukituliza wenge.
ULiiahi vizuri kwa sababu haukuwa na kesi kubwa.

Uliona hilo ni chimbo kwa sababu haukuwa na kesi nzito.

Siku ukiwa na kesi ngumu kama ya mauwaji huko kote utapaona kama mjini DASLAM.
 
Kuna Mwamba nae kanipa Elimu kama hii yako Mkuu. Unataka kuniambia asingetumia Simu kamwe asingedakwa?

Ina maana Polisi wana Mtambo wa Kusoma Mnara ulioko na kisha wakaja Kukudaka kama Kuku Uvunguni mwa Kitanda?

Naomba kujua hasa Polisi hufanya nini ili Kumkamata Mhalifu aliyekimbia kwani hata Mimi sikutegemea huyu Dogo Kato Rasta kuwa angekamatwa wakati nilisikia kuwa alikuwa akitaka Kutorokea nchini Msumbiji.
We jamaa bana kumbe huelewi chochote kuhusu hili?
 
Tembeleen nilipo Mimi muone watu wanavyofanya kazi, hizi porojo nyingi watu kujifanya wao ni wajuaji sana kwamba wanajifanya wanaroho mbaya ,sijui wanaweza kujificha aseee itoshe kusema huo ni ujasiri wa kwenye mitandao humu naona wengi bado hamjakumbwa na kashi kashi, muhimu Kila mtu Kwa nafasi yake atambe Kwa utulivu haijalishi wewe unajivunia Nini Ila wenye mamlaka wakisha muhitaji mtu wanamchukua popote pale Kwa utaratibu wao Hilo halipingwi! Hapa tuendeleeni kupeana ujinga Ila omba yasikikute au yakamkuta mtu wako wa karibu. Tuishi Kwa amani kwakufata taratibu za nchi!
 
ULiiahi vizuri kwa sababu haukuwa na kesi kubwa.

Uliona hilo ni chimbo kwa sababu haukuwa na kesi nzito.

Siku ukiwa na kesi ngumu kama ya mauwaji huko kote utapaona kama mjini DASLAM.
😂😂😂 nakubali.
 
Kuna Mwamba nae kanipa Elimu kama hii yako Mkuu. Unataka kuniambia asingetumia Simu kamwe asingedakwa?

Ina maana Polisi wana Mtambo wa Kusoma Mnara ulioko na kisha wakaja Kukudaka kama Kuku Uvunguni mwa Kitanda?

Naomba kujua hasa Polisi hufanya nini ili Kumkamata Mhalifu aliyekimbia kwani hata Mimi sikutegemea huyu Dogo Kato Rasta kuwa angekamatwa wakati nilisikia kuwa alikuwa akitaka Kutorokea nchini Msumbiji.
Ni vile tatizo linatokea, na unakua hujajipanga.
Bado unakua na mawasiliano ya mara kwa mara na watu wako wa karibu labda wakikushauri hili au lile.
wakikutumia pesa za matumizi nk nk.
Hapa ndipo kukamatwa kwako kuna kuwa rahis.

Mammalaka zinakutafuta kupitia savers/switch za makapuni ya simu.
Mafano, vodacom wanazo masaki na kule mbezi karibu na ofisi za baraza la mitihani. Hapo wadau wanaweza kukutafuta hata kwa sauti, baada ya tukio sauti yako inaonekana inawasiliana na nani na nani.
salama yako ni kutafuta simu mpya laini mpya, na ndugu wapya marafiki wapya.
 
Back
Top Bottom