Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Vipi angebadilisha simu na laini mpya?
Tatizo la Rasta katumia simu na ukitumia simu kwenda kwa mnara ulio karibu ya eneo aliopo.

Sasa hapa polisi ndio wanajua Rasta yupo eneo gani nao wanatuma picha yake kwa polisi wa eneo husika.

Kama Rasta ange wacha wapigia simu watu wake wa karibu mbona asinge patikana milele.
 
Kuna Mwamba nae kanipa Elimu kama hii yako Mkuu. Unataka kuniambia asingetumia Simu kamwe asingedakwa?

Ina maana Polisi wana Mtambo wa Kusoma Mnara ulioko na kisha wakaja Kukudaka kama Kuku Uvunguni mwa Kitanda?

Naomba kujua hasa Polisi hufanya nini ili Kumkamata Mhalifu aliyekimbia kwani hata Mimi sikutegemea huyu Dogo Kato Rasta kuwa angekamatwa wakati nilisikia kuwa alikuwa akitaka Kutorokea nchini Msumbiji.
Polisi nao utumia nguvu za giza.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.

Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva Bajaji Kawe ) alikuwa akiwakimbia / akiwakwepa Polisi kwa Kuhamahama Mikoa ambapo aliishi Mikoa karibia Mitano kabila ya Mbio zake kuishia rasmi Mkoani Ruvuma ( Songea ) ambako ndiko Alikodakiwa / Alikokamatwa.

Namaliza tu kwa kusema kuwa kwa Teknolojia Kubwa iliyoko Tanzania kwa sasa na Intelijensia Mahiri ya Jeshi la Polisi, JWTZ na TISS ukiona umefanya Tukio lolote lile baya cha kufanya haraka sana ambacho nakushauri ni Wewe Kujiua tu ila usijidanganye kuwa hutopatikana kamwe kwa Kigezo cha Kutegemea Waganga wa Kienyeji kama ambavyo alikuwa akifanya huyu Kijana Muuaji Kato aliyemuua Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna ( Mtani wangu wa Kinyiramba ) kutokea Mkoa wa Singida.

Hongera sana PT kwa Kumkamata.

Kufahamu mkasa huo, soma: Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato
Picha yake tafadhali
 
Kuna Mwamba nae kanipa Elimu kama hii yako Mkuu. Unataka kuniambia asingetumia Simu kamwe asingedakwa?

Ina maana Polisi wana Mtambo wa Kusoma Mnara ulioko na kisha wakaja Kukudaka kama Kuku Uvunguni mwa Kitanda?

Naomba kujua hasa Polisi hufanya nini ili Kumkamata Mhalifu aliyekimbia kwani hata Mimi sikutegemea huyu Dogo Kato Rasta kuwa angekamatwa wakati nilisikia kuwa alikuwa akitaka Kutorokea nchini Msumbiji.
Mkuu katika andiko lako la awali kuhusu stori hii, ulisema kuwa, baadaya mauaji mhusika alidakwa na kisha Polisi kumchukua wakati huo wanajeshi walitaka kwenda naye kambini kwao!

Sasa nauliza ilikuwaje tena atoke mikononi mwa Polisi na kwenda kukamatiwa mafichoni huko alikokuwa?
 
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.

Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva Bajaji Kawe ) alikuwa akiwakimbia / akiwakwepa Polisi kwa Kuhamahama Mikoa ambapo aliishi Mikoa karibia Mitano kabila ya Mbio zake kuishia rasmi Mkoani Ruvuma ( Songea ) ambako ndiko Alikodakiwa / Alikokamatwa.

Namaliza tu kwa kusema kuwa kwa Teknolojia Kubwa iliyoko Tanzania kwa sasa na Intelijensia Mahiri ya Jeshi la Polisi, JWTZ na TISS ukiona umefanya Tukio lolote lile baya cha kufanya haraka sana ambacho nakushauri ni Wewe Kujiua tu ila usijidanganye kuwa hutopatikana kamwe kwa Kigezo cha Kutegemea Waganga wa Kienyeji kama ambavyo alikuwa akifanya huyu Kijana Muuaji Kato aliyemuua Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna ( Mtani wangu wa Kinyiramba ) kutokea Mkoa wa Singida.

Hongera sana PT kwa Kumkamata.

Kufahamu mkasa huo, soma: Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato
Ila waliojaribu kumwua Lissu mpaka leo hawajapatikana!
 
Tatizo la Rasta katumia simu na ukitumia simu kwenda kwa mnara ulio karibu ya eneo aliopo.

Sasa hapa polisi ndio wanajua Rasta yupo eneo gani nao wanatuma picha yake kwa polisi wa eneo husika.

Kama Rasta ange wacha wapigia simu watu wake wa karibu mbona asinge patikana milele.
Watu wana mbinu sana
Kuna mwamba mmoja alikuwaga na kosa la mauaji alimpiga beto demu wake baada ya kumletea mapichapicha huku mwamba anahudumia.
Sasa alipopata huo msala akapotea kama miezi mitatu hivi kisha akarudi yaani akawa hatumii kabisa simu aina yoyote halafu hajulikani analala wapi mnaweza kukutana bar mkapiga story fresh tu mnakula tungi ila ghafla utashangaa polisi hawa hapa halafu ukigeuka kumcheck mwamba hayupo kayeyuka kimiujiza!
Kuna siku alinionyeshaga hirizi akasema hiyo ndo inasaidia asikamatwe yaani huwa inampa ishara kama kuna wanoko wanakuja kumkamata hivyo anapotea sekunde hiyo hiyo!
Mpaka leo mwamba hajawahi kukamatwa sema aliyumba sana kiuchumi sababu ya kukosa makazi ya kudumu na mishe za kueleweka
Mara ya mwisho nimekutana naye mkoa flani anapiga dili machimbo ya dhahabu
 
Baadhi ya wachangiaji ni professional killers hivyo acha tupate mbinu mujarabu!!!
 
Vipi angebadilisha simu na laini mpya?
....labda na watu wapya sio wale wale.....wanaweza kumchukua mkeo na mzazi mmoja unaempigia sana...wanaweka safe house ukipiga au text wako nao wewe wajua wako home....wanawaambia sema hivi fanya hivi kule wenzao wanasogea....mara utashangaa unaguswa shati....pia ukiishiwa ndio utahaha zaidi....
 
Kuna mwamba anaitwa Dan Cooper , aliwahi teka ndege na kudai pesa na akalipwa burungutu la pesa na akaruka kutoka kwenye ndege aliyoiteka kwa kutumia parachute
Na kutoweka na hajawahi kupatikana mpaka leo
Ni moja ya wahuni ambao waliwahi kufanikiwa kukwepa mitego yote ya vyombo vya upelelezi kama FBI pale marekani
Ni unsolved mystery mpaka leo
Hizo hela aliletewa huko huko angani?
 
....labda na watu wapya sio wale wale.....wanaweza kumchukua mkeo na mzazi mmoja unaempigia sana...wanaweka safe house ukipiga au text wako nao wewe wajua wako home....wanawaambia sema hivi fanya hivi kule wenzao wanasogea....mara utashangaa unaguswa shati....pia ukiishiwa ndio utahaha zaidi....
Aaaaaa sawa kiongozi
 
Nahisi tu sina uhakika kwamba, ile laini yako ya kwanza wanaangalia namba ulizokuwa unawasiliana nazo sana au ikibidi zote wanazitegeshea. Wewe utajifanya kubadili namba na kuwapigia watu wako kumbe namba zao zipo kwenye mfumo wanakusikiliza tu!

Ukitaka usipatikane, acha kutumia simu kajifiche huko ndani ndani!
Wakati wa usajili wa line huwa wanachukua hadi imei ya simu. So ata kama utabadili line imei ya simu itasoma, so watakutafuta, ndiyo maana watu huwa wanakamatwa na simu za wizi. So mwizi watamwambia wamtaje aliyemuuzia simu. Huenda jamaa alibadili line but hakubadili simu.
 
Back
Top Bottom