Thanks,Wazo zuri mkuu
Mipaka kwenye masuala ya ulinzi na usalamaHivi ulisema hawana mipaka au unakubaliana nami kwamba wana mipaka?
Umeandika pumba gani hizi.Kumiliki kiwanda bila ya kibali/leseni ni kosa kisheria. Lakini pia kuzalisha bidhaa kiwandani na kuuza pasipo kukagaguliwa na TANZANIA FOOD AND DRUGS AUTHORITY nayo ni kosa kisheria na bidhaa hizo zaweza kuwa ni hatari kwa matumizi ya mwana wa Adamu.
Kwa mantiki hiyo huna sababu ya msingi ya kulilaumu jeshi la polisi. Kwani limetekeleza wajib wake. Bali kumpongeza mwana matukio Zitto na waziri wa kilimo ni jambo jema.
Ningekuona una maana endapo tu ungelisifu jeshi la polisi kwa kumwibua mhusika huo na akapata kusaidiwa na waziri wa kilimo.
Hayo mafuta mengi yanaenda kutengeneza SabuniHawa wata set precedence! Vyakula na dawa sio kitu cha kufanyia mchezo au majaribio.
Hawa wata set precedence! Vyakula na dawa sio kitu cha kufanyia mchezo au majaribio.
Na hawashindwi hawa kina KingaiUnapewa kesi ya Ugaidi
Ukiwa Chadema sifa kuu ni ubishi. Kweli ni kuachana naeHuyu usibishane nae ndio alivyo
DuhUkiwa Chadema sifa kuu ni ubishi. Kweli ni kuachana nae
Na utakuwa upumbavu mkubwa zaidi kama serikali itafanya ulevi huo wa madaraka! Mafuta ya kupikia si sawa na gongo. Hivi sasa mamilioni ya Watanzania wanatumia mafuta yanayokamuliwa na wakulima/wafanyabiashara binafsi.Ndio mimi siuzi, na najua nitakapotaka kuuza lazima niruhusu mamlaka husika kunisimamia nisije ua watu.
Chochote kinachofanyika nje ya taratibu ni kosa na hakuna haja ya kutetea makosa
Kama serikali inavyokamata Gongo inayoitwa konyagi, iendelee kukamata hata mafuta, nyama, samaki vinavyouziwa walaji bila kuthibitika ubora wake
Hatuwezi kusema kama kuna kosa linafanyika pale basi na hapa tufanye makosa. Huo utakua upumbavu wa kiwango cha juu sana kwetu
Hiv sifa ya kuitwa hiki ni kiwanda ni zipi?Kumiliki kiwanda bila ya kibali/leseni ni kosa kisheria. Lakini pia kuzalisha bidhaa kiwandani na kuuza pasipo kukagaguliwa na TANZANIA FOOD AND DRUGS AUTHORITY nayo ni kosa kisheria na bidhaa hizo zaweza kuwa ni hatari kwa matumizi ya mwana wa Adamu.
Kwa mantiki hiyo huna sababu ya msingi ya kulilaumu jeshi la polisi. Kwani limetekeleza wajib wake. Bali kumpongeza mwana matukio Zitto na waziri wa kilimo ni jambo jema.
Ningekuona una maana endapo tu ungelisifu jeshi la polisi kwa kumwibua mhusika huo na akapata kusaidiwa na waziri wa kilimo.
Huo ndio ubunifu. Ukiona imefikia hatua hiyo jua uyo mtu kaona serikali imeshindwa kufikisha hio huduma sehemu husika na yeye kaamua kutatua hio changamoto. Kama uliwai ishi maeneo ya bwanga, buziku, katoro miaka kama tisa nyuma kulikuwa hakuna huduma za umeme wa tanesco lakin kulikuwa na watu wanazalisha umeme na kusambaza lile eneo zima.Soon watu wataanza kuzalisha umeme na kujisambazia nyumba za jirani bila ya kushirikisha TANESCO.
Kwahiyo ww hutaki watu wawe wabunifu, hii nchi ina viongozi wa ajabu sanaView attachment 2086870
View attachment 2086871
Mzalishaji mdogo wa mafuta sio peke yake wapo maelfu waliojisajili SIDO na kupewa mafunzo.
Watu kama hao ni vichwa ngumu tu; hakuna cha ubunifu wala nini zaidi ya kuvunja sheria.
Waziri ku support watu wa aina hiyo ni kutuma message mbaya kwenye jamii sheria ukikamatwa utapelekwa SIDO.
Soon watu wataanza kuzalisha umeme na kujisambazia nyumba za jirani bila ya kushirikisha TANESCO.
Nime-note neno 'mengi'Hayo mafuta mengi yanaenda kutengeneza Sabuni
Wanaofundishwa ni wale wanao report shughuli zao kwa mwenyekiti wa kijiji, au popote mpaka mamlaka za juu; wenye kuwaelekeza wapi pa kwenda kurasimisha uzalishaji wao.Huo ndio ubunifu. Ukiona imefikia hatua hiyo jua uyo mtu kaona serikali imeshindwa kufikisha hio huduma sehemu husika na yeye kaamua kutatua hio changamoto. Kama uliwai ishi maeneo ya bwanga, buziku, katoro miaka kama tisa nyuma kulikuwa hakuna huduma za umeme wa tanesco lakin kulikuwa na watu wanazalisha umeme na kusambaza lile eneo zima.
Huduma yeyote inaitaji ubunifu na sio kila mbunifu anauwelewa juu ya kanuni na taratibu za kuendesha hicho kitu ni wajibu wa serikali na taasisi zake kuwatafta na kuwaelimisha ili kuongeza thaman ya huduma wanazo zizalisha
Hao wengi unao wasema wazalisha kila mtu kivyake ama kama kikundi? Uzalishaji wao upo katika eneo gani ? Eneo ambalo utegemea hio shughuri kama shughuri kuu ya kiuchumi ama ?Wanaofundishwa ni wale wanao report shughuli zao kwa mwenyekiti wa kijiji, au popote mpaka mamlaka za juu; wenye kuwaelekeza wapi pa kwenda kurasimisha uzalishaji wao.
Watu wapo vijijini kabisa wanajizalishia umeme wao wenyewe lakini wanaelewa kupeleka nyumba ya jirani bila ya kuja kukaguliwa na TANESCO ni kuvunja sheria.
Swala la wazalishaji wadogo wa mafuta yakupikia huyo sio kwanza na wala atakuwa wa mwisho; soma hiyo article niliyoweka kutoka habari leo kwanini mafunzo ni muhimu.
Binafsi namjua mtu ambae kapoteza mdogo wake kupitia bia fake kutoka viwanda bubu.
Kwenye mafuta kuna wazalishaji wadogo zaidi yake wanasijali iweje yeye asijue.
Ni muhuni tu hakuna cha ubunifu wala nini kuna maelfu ya watu wanazalisha mafuta yeye sio wa kwanza. Amevunja sheria kwa makusudi tu, watu kama hao sio wakuchekewa.
Hapa sizan kama kuna ukweli maana watu wengi wa vijijini hawana uelewa juu ya hizo sheriaWatu wapo vijijini kabisa wanajizalishia umeme wao wenyewe lakini wanaelewa kupeleka nyumba ya jirani bila ya kuja kukaguliwa na TANESCO ni kuvunja sheria.
Kazi iendelee.
Mawaziri wakiwa huru ndio tutaona uwezo wao wa kufikiri upo vipi. Hongera kwa hatua chanya
Hao wengi unao wasema wazalisha kila mtu kivyake ama kama kikundi? Uzalishaji wao upo katika eneo gani ? Eneo ambalo utegemea hio shughuri kama shughuri kuu ya kiuchumi ama ?
Ni rahis ayo unayosema ni rahis kufanyika kwenye maeneo ambayo hicho kitu ufanyika kwa wingi na kinategemewa kama kitega uchumi kwenye eneo husika.
Hapa sizan kama kuna ukweli maana watu wa vijijini hawana uelewa juu ya hizo sheria