dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,758
- 3,199
Sio kutetea uhalifu,Jamani, hivi ni kweli tunatetea uhaqlifu? Hivi hiyo bidhaa ikiwadhuru wananchi mtamlaumu nani. Hivi kweli tumefikia mahali pa kuchagua sheria zipi zifuatwe na zipi zipuuzwe. Tutakuwa tunajenga taifa la namna gani? Ni afadhali mtu awe mkweli kuliko huyu aliekyuwa anatengeneza mafuta akiuza kutumia nembo za viwanda vingine. Huyo Zitto sasa hivi amekuwa irrelevant ndiyo maana anarukia vitu ambavyo yeye kama kiongozi wa kitaifa asingetakiwa. Anajikweza tu, but he is done.
Kwa kifupi, Sera ya viwanda ingekuja na malengo yanayohesabika na kufikika.
Mfano in three years tufungue viwanda 100,000 vya mafuta (mawese, Karanga, alizeti n.k) vyenye uwezo wa kuprocess tani 1000 each. Then incentives process nzima, kuanzia Kwa mkulima mpaka mwisho, after 5yrs ndo Kodi zao zirudi
Kwa hesabu hiyo suala la soko la mkulima, bei Kwa mlaji, ajira Kwa vijana yangekuwa solved Kwa mpigo.
Then ukimaliza mafuta unakuja kwenye sukari, unga wa ngano, unga wa ugali, ulezi, juices, maziwa n.k
In ten years unakuta unaviwanda visivopungua 2M vinavotoa ajira rasmi Kwa atleast 5M people.
Then suala la ajira na bei Kwa mlaji au mkulima inakuwa umelimaliza