johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna mambo Mawili muhimu sana,
Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi wao kwamba Polisi walihusika kifo cha mtu aitwaye Mushi.
Pili: Mwanasheria Nguli Wakili Msomi Mwabukusi kuwa Wakili wa Bonny na Malisa.
Kesi hii tutajifunza mambo mengi sana ya kimfumo kuanzia tuanze Siasa za Vyama Vingi.
Ikumbukwe wakati wa Mwangosi Shujaa Magufuli hakuwepo na hata sasa ni Mushi Shujaa hayupo.
Mungu wa Mbinguni awabariki ufuatiliaji kwa Haki.
Ahsanteni. 🐼