Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

Huyu mzee Muliro ni mtu wa hovyo, sijui halioni hata aibu huku linakaribia kustaafu?
Jeshi la polisi bado sana kuwa na watu wenye weredi unakaa na maiti ambayo haijatambulika zaidi ya siku kumi tena kwenye hospitari yao kuna vyombo vya habari kama TBC wanakipindi maalumu cha watu waliopotea kwanini usitangaze na wakati huohuo ndugu wamepita vituo vya polisi hawajampata ina maana hawana database zao kwa ufupi huyu kamanda atakufinyanga uongo hajui natamani kesi iende mahakamani muriro akahojiwe atasema ukweli
 
Doh!

Hizo siku kumi zimefahamikaje mkuu
 
Hata mimi ninatamani iende mahakamani! hadi raha! atakapotoa mimacho! Huyu si ndiye aliyesema tukiandama tuchakazwe kama mbwa koko? akiwa Dodoma? Nadhani atakimbia hatathubutu kumkamata boni yai
 
Kuna mambo Mawili muhimu Sana

Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo mh Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa Chadema mh Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya DSM juu uzushi wao kwamba Polisi walihusika Kifo Cha Mtu aitwaye Mushi

Pili: Mwanasheria Nguli Wakili Msomi Mwabukusi kuwa Wakili wa Bonny na Malisa

Kesi hii tutajifunza mambo mengi Sana ya kimfumo kuanzia tuanze siasa za Vyama Vingi

Ikumbukwe wakati wa Mwangosi Shujaa Magufuli hakuwepo na Hata sasa Ni Mushi Shujaa hayupo

Mungu wa Mbinguni awabariki Ufuatiliaji kwa Haki

Ahsanteni 🐼
Hujawahi kuwa na akili.
 
Chizi mwenyewe.

Unazani kwa Nini kuna vyama vingi na mashirika mbalimbali? Na yote yanakula Kodi zetu? .

Kama hayafanyi kazi zetu basi yajifunge.
Kama hayafanyi kazi basi yafungiwe na siyo kusubiri yajifunge yenyewe.
 
Jeshi la polisi bado sana kuwa na watu wenye weredi unakaa na maiti ambayo haijatambulika zaidi ya siku kumi tena kwenye hospitari yao kuna vyombo vya habari kama TBC wanakipindi maalumu cha watu waliopotea kwanini usitangaze na wakati huohuo ndugu wamepita vituo vya polisi hawajampata ina maana hawana database zao kwa ufupi huyu kamanda atakufinyanga uongo hajui natamani kesi iende mahakamani muriro akahojiwe atasema ukweli
Ukiona hivyo wahusika ni wao
 
Mmechelewa sana , wenye pesa na vyeti feki walikuwa wanawadanganya jmaa ni dikteta
Vyeti feki kina Makonda na Msukuma mbona hawakuguswa? JPM alikua mnafiki tu aliwanyoosha wale waliompinga tu ila majizi yaliyokua upande wake wala hakudeal nayo!! Rejea yule jangili Nchambi na mwanyika wa ACACIA walipelekewa mahakamani na kukiri uhujumu uchumi ila hawakuchukuliwa hatua na Ccm mpaka kesho.
 
Sahihi sn
 
Kwani Makonda hakusoma Ushirika Moshi?
 
Ben Malisa inabidi ahesabu meno yake yako mangapi ili ajue baadaye jinsi ya kufungua kesi ya madai.
 
Back
Top Bottom