LGE2024 Kukamatwa viongozi wa CHADEMA, Polisi wadai "CHADEMA walikaidi amri ya Askari, walirusha mawe na kujeruhi Askari"

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni mwendawazimu tu anayeweza kuwaamini polisi hawa wanaotumikishwa kazi chafu na CCM.
Yaan hawa polis wetu wanavyotumikishwa na ccm utazan kichwan hawana kitu

Upolis ni kazi aisee,yaan kila siku ni kuamrishwa tu fanya hv
 
Gentleman,
upende usipende, sheria itafuatwa tu, na asiefuata sheria atawajibishwa ipasavyo mara moja bila mbambamba yoyote πŸ’
Sheria batili zilizotungwa kwa nia ovu na watu washenzi ni laana kwa Mungu!
 
A good Police Officer is ONLY a dead Police Officer!
 
Sheria batili zilizotungwa kwa nia ovu na watu washenzi ni laana kwa Mungu!
wanaokiuka sheria za nchi watadhibitiwa na kushurutishwa kuzitii wapende wasipende...

wakavunje sheria ndani ya vyama vyao, lakini wasithubutu kunajisi au kukaidi sheria za nchi.

watu kama hao hawatavumiliwa hata sekunde moja na vyombo vya ulinzi, alaaa?πŸ’
 
Mara zote watu washenzi kama wewe hawakosekani katika jamii!
 
Mara zote watu washenzi kama wewe hawakosekani katika jamii!
Relax bas gentleman,

shusha hiyo nonsense mori na munkari kidogo basi...

Lazima sheria za nchi zizingatiwe na kila raia bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Yarabi
 
pole mkuu, weka namba tukuchangie
Kawachangie kwanza kule kijijini kwenu wapate maji safi na salama ya kunywa, hospital zao ziwe na dawa na watoto wao wapate elimu kama ile wanayopata viongozi wa ccm hapo lumumba
 
Gentleman,
upende usipende, sheria itafuatwa tu, na asiefuata sheria atawajibishwa ipasavyo mara moja bila mbambamba yoyote πŸ’
Waliokimbia ofisi ili wapinzani wasirudishe form wamechukuliwa hatua gani? We jamaa bahati humu ni anonymous ila kinsingii.
 
Kawachangie kwanza kule kijijini kwenu wapate maji safi na salama ya kunywa, hospital zao ziwe na dawa na watoto wao wapate elimu kama ile wanayopata viongozi wa ccm hapo lumumba
au wakaishi ulaya kama watoto wa tundu lissu
 
au wakaishi ulaya kama watoto wa tundu lissu
Kuishi ulaya siyo kosa na siyo watoto wa lisu tu. Hata wa malecela, 6, msekwa na mafisadi wote hapo lumumba watoto wao hawaishi Tz . Kama huamini ninavyokuambia pita shule zote za umma tz uniambie mtoto wa kigogo yoyote wa lumumba anayesoma huko
 
Waliokimbia ofisi ili wapinzani wasirudishe form wamechukuliwa hatua gani? We jamaa bahati humu ni anonymous ila kinsingii.
kuna uhalifu gani nimefunga ofisini yangu, na ni muda wa njea ya kazi za umma?

wewe uende kushinda kwenye mapombe huko uje ofisini nje ya muda wa kazi, ukute ofisi imefungwa na ukimbilie kutafuta huruma mitandaoni?

that can not help and of course can not work πŸ’
 
Hakyanani!! Hii nchi hii!?
 
Ile gari iliyokamatwa na wa Ethiopia kule arusha huku ikipeperusha bendera ya ccm imeshapata mwenyewe?
Wale mchwa/mafisadi waliotajwa kwenye report ya CAG walishachukuliwa hatua za kisheria?
 
Ile gari iliyokamatwa na wa Ethiopia kule arusha huku ikipeperusha bendera ya ccm imeshapata mwenyewe?
Wale mchwa/mafisadi waliotajwa kwenye report ya CAG walishachukuliwa hatua za kisheria?
ni muhimu kuzingatia sheria, kuepuka ulevi saa za kazi na kutegemea huruma za mitandaoni ukadhani utasaidika.
hapana, hiyo ni nonsense gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…