Zama hizo ilikuwa ikisikika kuwa watu wazima wa haja walikuwa wakikanda unga wa ngano wa kutengenezea mikate kwa kutumia miguu ! Nimekuwa nikijiuliza hivi haya mambo yalikuwa ya kweli au ni stori za vijiweni. Naambiwa wanaume walikuwa wanalowa jasho chapa chapa, ila sasa wangefanyaje na vitendea kazi havikuwepo. Hivi hali ikoje siku hizi?
Kweli wala sio uongo, mashine za kukandia unga hazikuwepo! Tumekula sana majasho Yao.
Acha majasho tu, wengine miguu yao jinsi ilivyo michafu ni balaa akivua viatu hiyo harufu yake unaweza kutamani kuikimbia nyumba.
Acha majasho tu, wengine miguu yao jinsi ilivyo michafu ni balaa akivua viatu hiyo harufu yake unaweza kutamani kuikimbia nyumba.
wala si hivyo tu, anakanda unga wakati anamafua unadhani ataenda mbali kuyatoa?? achilia mbali chafya anazodondosha
wala si hivyo tu, anakanda unga wakati anamafua unadhani ataenda mbali kuyatoa?? achilia mbali chafya anazodondosha
duh mleta mada hujakosea zamani kulikuws na bakery mtaani kwetu ya waarabu fulani basi wafanya kazi walikuwa wanakanda mikate kwa style hiyo.....kwa miguu.kuna bakery ingine ilikuwa kinondoni karibu na hospital ya dokta mvungi bakery ilikua ya wasomali wao walikuwa wanakanda kwa miguu pia...kweli tumekula sana majasho na uchafu wao
Mtumeee usitake kuntapisha saa hizi......vyakula vya kununua vina mashaka yaani tu ujilie ila usiombe uende mazingira yanayopikwa unaweza usile tena cha kununua.....
πuke:πuke:πuke:
Msiishie kwenye mikate tu,hata kwa scale ndogo ya mapishi mambo ya kukuna nazi mama ntilie ana kitoto kichafuchafu na anakisafisha huku akiendelea na upishi mara kwapa au kunani kumemuwasha anajikuna, lazima upate tu ile ladha tamu ya ziada na umsifie kwa kujua kukarangiza ! .kingine wale watayarishi wa mvinyo kiasili kule ulaya huzitia zabibu katika mabeseni makubwa na huita rafiki zao basi hupiga stori wakinywa mvinyo huku wakiwa kwenye beseni zile wakiziponda zabibu kwa miguu yao!Dah! Wametulisha uchafu sana mkuu, mpaka kinyaa.
Achana na kukanda mikate, kwa miaka mingi utengenezaji wa mvinyo(wine) ulitegemea wanaume kukanda mizabibu kwa
miguu.
umenikumbusha long time!niliacha kula mikate kwa ajili ya hii bakery!nilikuwa mdogo by then kaka yangu ndo alikuwa ananipa story jinsi wanavyokanda huo unga hapo kwa wasomaliduh mleta mada hujakosea zamani kulikuws na bakery mtaani kwetu ya waarabu fulani basi wafanya kazi walikuwa wanakanda mikate kwa style hiyo.....kwa miguu.kuna bakery ingine ilikuwa kinondoni karibu na hospital ya dokta mvungi bakery ilikua ya wasomali wao walikuwa wanakanda kwa miguu pia...kweli tumekula sana majasho na uchafu wao
umenikumbusha long time!niliacha kula mikate kwa ajili ya hii bakery!nilikuwa mdogo by then kaka yangu ndo alikuwa ananipa story jinsi wanavyokanda huo unga hapo kwa wasomali