Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 374
Jana nilikuwa napasha gari, nikaiwasha engine ikawaka na ilikuwa kwenye Parking Mode, nikawa nakanyaga accelerator kwa muda fulani, badae nikazima ila nashangaa sasa nikiwasha gari inawaka kuonesha Battery halina nguvu na Engine haizunguki.
Je, kukanyaga Accelerator ikiwa kwenye Parking Mode inaweza kuwa ndio sababu ya battery kuisha nguvu?
Tupia maoni...
Je, kukanyaga Accelerator ikiwa kwenye Parking Mode inaweza kuwa ndio sababu ya battery kuisha nguvu?
Tupia maoni...