Kukanyaga mafuta wakati gari ipo kwenye Parking Mode kunaweza kupelekea Battery la gari kuishiwa nguvu?

Kukanyaga mafuta wakati gari ipo kwenye Parking Mode kunaweza kupelekea Battery la gari kuishiwa nguvu?

Hapana, kukanyaga mafuta wakati gari ipo kwenye 'Park' hakusababishi betri kuishiwa nguvu. Kuna manne hapo:

1. Betri hupoteza nguvu nyingi gari inapowashwa. Yawezekana hukulipa gari muda wa kutosha likiwa limewaka ili betri ichaji tena, ama...

2. Betri imechoka/mbovu hivyo inapoteza chaji haraka.

3. Alternator mbovu, haichaji betri gari inapokuwa imewaka.

4. Connections za nyaya na/au belt ya alternator iko loose.

Mwisho, yawezekana kuna vitu uliacha vinawaka, mfano taa, zikanyonya betri.
mkuu mimi nimepaki gari alhamisi bila tatizo,ijumaa sijawasha kabisa,jmosi nawasha ikagoma battery low,nikatoa nikaenda kuboost kwenye machine ya kuchaji,nikarudi nikafunga,nikatoka nayo na kurudi jioni,jpili nilitoka nayo bila shida.
Jtatu asubuhi nawasha,bettry low,usiku nikaja na battery tukaboost,ikawaka,wakati imewaka nikapima voltage kwenye betry ikawa 14.0v dc,nikajua alternator inachaji fresh.Nikadisconect waya wa body kwenye battery.
Jnne asubuhi,yaani leo nikarudishia waya wa bodi,nawasha,imekataa battery low,battery ina miezi kama 7,aina ya MF,,,cjui nikaongeze distilled water alafu ni ichaji?ingawa ni haina matundu ya maji..
 
mkuu mimi nimepaki gari alhamisi bila tatizo,ijumaa sijawasha kabisa,jmosi nawasha ikagoma battery low,nikatoa nikaenda kuboost kwenye machine ya kuchaji,nikarudi nikafunga,nikatoka nayo na kurudi jioni,jpili nilitoka nayo bila shida.
Jtatu asubuhi nawasha,bettry low,usiku nikaja na battery tukaboost,ikawaka,wakati imewaka nikapima voltage kwenye betry ikawa 14.0v dc,nikajua alternator inachaji fresh.
Jnne asubuhi,yaani leo,nawasha,imekataa battery low,battery ina miezi kama 7,aina ya MF,,,cjui nikaongeze distilled water alafu ni ichaji?ingawa ni haina matundu ya maji...
Hicho siyo kipimo cha kujua kama Alternator inacharge.

Japo kweli unaweza kuwa una shida kwenye battery au shoti au kuna mfumo huwa unaendelea kutumia umeme ukizima gari.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hicho siyo kipimo cha kujua kama Alternator inacharge.

Japo kweli unaweza kuwa una shida kwenye battery au shoti au kuna mfumo huwa unaendelea kutumia umeme ukizima gari.
sasa mkuu alternator iliunguza plate diode,fundi akabadilisha ikawa inacharge vizuri tu,sasa ka ukipima kwenye betri ukute 14v dc,na unasema huenda alt haichaji,sasa hizo volts zinazozidi zinatoka wapi,wakati betri ikiwa full charged ni 12.5vdc?nauliza tu mkuu,pia unapimaje kujua kama kuna short ckt...
 
14vdc siyo kipimo kwamba alternator inacharge battery.

Ndio maana unavopima alternator kipimo kinakuambia kanyaga accelerator above 2500rpm for 10seconds.

Baada ya hapo ndio inatoa majibu kama alternator ni nzima au mbovu.

Short circuut tafuta fundi.
 
Hua linafanya ivo au one time problem?

Upon startup ignition system ina takes up around >100A for average 4 piston small cars.

100A is enough ku surge battery voltage below 10V within cranking seconds.

What’s the battery CCA? or AH?

Kama battery undersized na engine it will be taking up much power which needs more time for alternator to fill up that battery again. That time requires more engine RPM. Silencer au idle engine speed inatoa power ndogo kwa alternator kiasi haiwezi kureplace used up power when started up.

Alternator power to the battery depends na RPM. Sio RPM/accelerator kwa dakika 5..No battery electrochemistry haiwezi kujaa kwa muda huo, battery chemistry takes time to fill up battery even if RPM/acceleration is higher.

Check if battery Ah sizable with your engine au ulipowasha uliwasha na load zingine like indicators au headlights.

When everything above is ok then it comes down to your alternator system.
 
Attachments

  • 2F503F31-6FCA-4191-AD6E-436BB11008B1.jpeg
    2F503F31-6FCA-4191-AD6E-436BB11008B1.jpeg
    39.9 KB · Views: 4
14vdc siyo kipimo kwamba alternator inacharge battery.

Ndio maana unavopima alternator kipimo kinakuambia kanyaga accelerator above 2500rpm for 10seconds.

Baada ya hapo ndio inatoa majibu kama alternator ni nzima au mbovu.

Short circuut tafuta fundi.
sawa mkuu,lakini usiku nili disconnect terminal ya body kwenye battery,asubuhi nimerudishia,na bado gari haijawaka mkuu,battery low..
 
Jana nilikuwa napasha gari, nikaiwasha engine ikawaka na ilikuwa kwenye Parking Mode, nikawa nakanyaga accelerator kwa muda fulani, badae nikazima ila nashangaa sasa nikiwasha gari inawaka kuonesha Battery halina nguvu na Engine haizunguki.

Je, kukanyaga Accelerator ikiwa kwenye Parking Mode inaweza kuwa ndio sababu ya battery kuisha nguvu?

Tupia maoni...
Kwanza ulivyofanya siyo vizuri kwenye uhai wa transmission yako. Kama ilikuwa ni lazima kufanya revving kwa muda mrefu bila kuendesha, basi ungiweka kwenye neutral kwanza.

Kuhus kadhia uliyopata, ni kwamba ama betri yako imeshaaza kuchoka au charging system ni mbovu. Havina uhusiano kabisa na wewe kukanyaga accelerator wakati gari imesimama
 
Back
Top Bottom