Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 374
- Thread starter
- #21
Battery haina hata MwakaAu cables huenda hazijawa connected vizuri... au battery mbovu pia.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Battery haina hata MwakaAu cables huenda hazijawa connected vizuri... au battery mbovu pia.!
Ni bulit in? Yaani ya kujia na gari?Battery haina hata Mwaka
Hapo ni alternator au cables hazijawa connected vizuri, au alternator belt haijawa na grip itakiwayoBattery haina hata Mwaka
Hapana sio built-in, uwa inatakiwa ubadilishe baada ya miaka 3 hadi 4, nami nilibadili na sasa haijamalizika hata mwakaNi bulit in? Yaani ya kujia na gari?
Nitalifanyia kazi hiloHapo ni alternator au cables hazijawa connected vizuri, au alternator belt haijawa na grip itakiwayo
Ok beware of fraudstersNitalifanyia kazi hilo
Of cozOk beware of fraudsters
Wewe ungemjibu kwanza kabla ya kuuliza swali juu ya swaliMkuu hiyo gari ilikuwa yako? Maana hiyo title ya uzi ulivyoiandika sidhani kama wewe ndio mmiliki wa hilo gari
Asante sana asee... Umeupiga mwingiHapana, kukanyaga mafuta wakati gari ipo kwenye 'Park' hakusababishi betri kuishiwa nguvu. Kuna manne hapo:
1. Betri hupoteza nguvu nyingi gari inapowashwa. Yawezekana hukulipa gari muda wa kutosha likiwa limewaka ili betri ichaji tena, ama...
2. Betri imechoka/mbovu hivyo inapoteza chaji haraka.
3. Alternator mbovu, haichaji betri gari inapokuwa imewaka.
4. Connections za nyaya na/au belt ya alternator iko loose.
Mwisho, yawezekana kuna vitu uliacha vinawaka, mfano taa, zikanyonya betri.
Brother habari. Una knowledge mno ya magari.Hapana, kukanyaga mafuta wakati gari ipo kwenye 'Park' hakusababishi betri kuishiwa nguvu. Kuna manne hapo:
1. Betri hupoteza nguvu nyingi gari inapowashwa. Yawezekana hukulipa gari muda wa kutosha likiwa limewaka ili betri ichaji tena, ama...
2. Betri imechoka/mbovu hivyo inapoteza chaji haraka.
3. Alternator mbovu, haichaji betri gari inapokuwa imewaka.
4. Connections za nyaya na/au belt ya alternator iko loose.
Mwisho, yawezekana kuna vitu uliacha vinawaka, mfano taa, zikanyonya betri.
Kama una alternator mbovu, battery ya kulast miaka mitano inaweza kulast miezi 6. Lishike hili. Alternator mbovu inaua battery vizuri kabisa.Battery haina hata Mwaka
Dah huu msamiati mpya😁😁😁 built in?Ni bulit in? Yaani ya kujia na gari?
Ehh jizazi iz lodNi bulit in? Yaani ya kujia na gari?
La mwisho ni short circuit japo uwezekano wa hili ni mdogo ila asilipuuze, shoti inadrain faster sana battery pia inachangia sana kuua battery.Hapana, kukanyaga mafuta wakati gari ipo kwenye 'Park' hakusababishi betri kuishiwa nguvu. Kuna manne hapo:
1. Betri hupoteza nguvu nyingi gari inapowashwa. Yawezekana hukulipa gari muda wa kutosha likiwa limewaka ili betri ichaji tena, ama...
2. Betri imechoka/mbovu hivyo inapoteza chaji haraka.
3. Alternator mbovu, haichaji betri gari inapokuwa imewaka.
4. Connections za nyaya na/au belt ya alternator iko loose.
Mwisho, yawezekana kuna vitu uliacha vinawaka, mfano taa, zikanyonya betri.
But sielewi lengo la kukanyaga acc lilikuwa nini. Maana kama ni kuipasha moto ungeicha tu ingurume yenyeweIlikuwa imezimwa Nikaiwasha ikawaka muda mfupi nikakanyaga Accelerator kuongeza RPM, mzunguko wa Engine kwa dakika kadhaa... kisha nikaizima badae kuwasha Tena inaonesha battery haina nguvu