Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 374
Utakuta gari haichaji ulivyowasha ukamaliza chaji iliyokuwa kwenye betri.Jana nilikuwa napasha gari, nikaiwasha engine ikawaka na ilikuwa kwenye Parking Mode, nikawa nakanyaga accelerator kwa muda fulani, badae nikazima ila nashangaa sasa nikiwasha gari inawaka kuonesha Battery halina nguvu na Engine haizunguki... Je kukanyaga Accelerator ikiwa kwenye Parking Mode inaweza kuwa ndio sababu ya battery kuisha nguvu?
Tupia maoni...
Achana na hizo habari, Jibu Swali...Mkuu hiyo gari ilikuwa yako? Maana hiyo title ya uzi ulivyoiandika sidhani kama wewe ndio mmiliki wa hilo gari
Jibu kwanza weweAchana na hizo habari, Jibu Swali...
Sasa ni jibu nini wakati mimi ndio nimeuliza swali... Sasa wewe kujua ni yangu au si yangu inaingiaje hapo, ukijua ni yangu au sio yangu ndio inakuwaje mzee..Jibu kwanza wewe
Yes absolutely... Inawezekana pia ni moja wapo ya sababuUtakuta gari haichaji ulivyowasha ukamaliza chaji iliyokuwa kwenye betri.
Gari ni yako, sio yako?Sasa ni jibu nini wakati mimi ndio nimeuliza swali... Sasa wewe kujua ni yangu au si yangu inaingiaje hapo, ukijua ni yangu au sio yangu ndio inakuwaje mzee..
Ni yako mzee uliiacha hapa janaGari ni yako, sio yako?
Kama ni yangu usijisumbue kujua hilo tatizo.Ni yako mzee uliiacha hapa jana
Wewe kama uwezi kujibu tulia... Usijaze maoni hapa yasiyokuwa na TijaKama ni yangu usijisumbue kujua hilo tatizo.
SawaWewe kama uwezi kujibu tulia... Usijaze maoni hapa yasiyokuwa na Tija
Mimi si mtaalam sana wa magari lakini machojua gari ikishawaka haitumii umeme wa batry inatumia altenator inayozalisha umeme na kuchaj tena betri hivyo kukanyaga mafuta hakuwezi kumaliza chaji unless kuna shida kwenye gariJana nilikuwa napasha gari, nikaiwasha engine ikawaka na ilikuwa kwenye Parking Mode, nikawa nakanyaga accelerator kwa muda fulani, badae nikazima ila nashangaa sasa nikiwasha gari inawaka kuonesha Battery halina nguvu na Engine haizunguki.
Je, kukanyaga Accelerator ikiwa kwenye Parking Mode inaweza kuwa ndio sababu ya battery kuisha nguvu?
Tupia maoni...
Exactly! Na hili ndilo tatizo hapo.Utakuta gari haichaji ulivyowasha ukamaliza chaji iliyokuwa kwenye betri.
Na uliliwasha kwa muda mfupi kisha ukazima tena?Yes absolutely... Inawezekana pia ni moja wapo ya sababu
Au cables huenda hazijawa connected vizuri... au battery mbovu pia.!Alternator mbovu hapo tafta suluhu
Hapana. Ni hivi, charging system ina tatizo hapo.Mimi si mtaalam sana wa magari lakini machojua gari ikishawaka haitumii umeme wa batry inatumia altenator inayozalisha umeme na kuchaj tena betri hivyo kukanyaga mafuta hakuwezi kumaliza chaji unless kuna shida kwenye gari
Ilikuwa imezimwa Nikaiwasha ikawaka muda mfupi nikakanyaga Accelerator kuongeza RPM, mzunguko wa Engine kwa dakika kadhaa... kisha nikaizima badae kuwasha Tena inaonesha battery haina nguvuNa uliliwasha kwa muda mfupi kisha ukazima tena?