Needless to say anymore, 2029 hiyo hapo! Mwenye utambuzi atatafuta muda wake kuchunguza. Vita ya Ukraine haikutegemewa kufika hadi leo. Vita ya Gaza vile vile; matokeo yake ikaamsha vuguvugu la waislamu la kujimilikisha nchi za Magharibi na vile vile ikazaa Vita nyingine (Israel vs Hezibollah; US/Israel vs Iran; US/Israel vs Houthies) Vita ya US/Israel vs Iran ikazaa Vita kati ya Saudia vs Houthies.
Free Palestine movement in Europe &US imetokeza tishio la civil wars kwenye nchi hizo. Aidha, pia free-palestine movement hiyo imewachochea vijana wa jamii za wahamiaji huko France kudai haki zao dhidi ya mfumo mbovu wa elimu wa nchi hiyo. Sasa hivi wako barabarani wakichoma moto miundombinu ya nchi hiyo na kuwapiga police (lawlessness)
Tutarajie nini hapa mbeleni?
1. Tusikilizie Vita nyingine huko mashariki ya kati. Kwani Turkey sasa yeye ndiye anajiona mkombozi wa waislamu. Edorgan amesema waziwazi kuikomboa Jerusalem toka mikononi mwa Israel. Aidha pia Turkey inatishia usalama wa Greece.
2. Iran, the Islamic Regime ni suala la muda tu; they're finished
3. Huko ulaya 2027 the pro-palestine and pro islamists Macron's Govt in France msishangae ikishindwa uchaguzi. Marine Le Pen akiingia Waislamu wakae chonjo. Vilevile UK msishangae Labour Govt ya PM Andy Burnham ikiondoka madarakani na hivyo, waislamu wa UK kujipata wamekalia kuti bovu. Spain Serikali ya Kisocialists and pro Palestine ya Pedro Sanchez out of the blue, wameitisha general elections 29 Nov. 2026. Sanchez anaimani kuwa wananchi watamuunga mkono kufuatia mgogoro wa makazi ulioibuka karibuni! Msishangae anadondoka. Huko US midterm elections hizo hapo this coming November. Democrats wanajipa matumaini ya kushinda viti vya Senate & Congress. Timetable ya Mungu cannot be altered. Msishangae Republican wakishinda.
Kwa Ujumla mustakabali wa Waislamu na vyama vya Kisocialists huko West siyo mzuri. Na kana inatokea hivyo, tutarajie waislamu wa nchini humo kuanzisha vurugu zitakazopelekea CIVIL WAR.
Marekani ya Kusini tumeona Serikali nyingi za itikadi ya Kisocialists zikishindwa Uchaguzi; ile ya Venezuela kwakuwa ilikuwa imeotesha mizizi yake mpaka kwenye vyombo vya Usalama, ikabidi kutumia njia nyingine tofauti na sanduku la kura-It's now gonna. Mkumbuke kuwa Serikali zenye itikadi ya Kisocialists ziefanya unholy alliance with islamists.
Tunaposema hivi, Brazil yenye Serikali ya Kisocialists chini President Lula iko mbioni kung'olewa. Runoff elections zitafanyika mwishoni mwa October. Very likely Flavio Bolsinaro akashinda. Lula has been very pro Palestine. Brazil ikipindua meza ina maana the entire south America except Uruguay watakuwa wameachana na Serikali za Kisocialists ambazo ni pro Palestine/islam.
Nyakati hizi tunazoishi ni very exciting kwani hakutapoa hadi hiyo 2029/30. Ila jambo moja ni muhimu. Hata ingawa baba wa Wasocialists na Maislamists kwa maana ya China & Saudia wanaweza wasiathirike kihivyo; bado nina uhakika muungano baina ya socialists/communist and islam (red-green alliance) hautafanikiwa kuungamiza ulimwengu unaoamini katika freedom and civilisation.
Stay tuned!!!