Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Ni 1000 kila mwezi. Kwa maana nyingine kwa mwaka ni 12000 tofauti na 10000 ya awali kwa hizi nyumba zetu za kawaida. In summary ni kwamba kodi ya majengo imepanda kwa 2000 zaidi.Mita ya LUKU ina jina la mmiliki wa nyumba na siyo mpangaji, hata kama mpangaji atalipia bado itakuwa ni sehemu ya kodi
Kwa lugha nyingine , kodi yako itapungua kwa kiasi ulicholipia. Pia kodi hii inalipwa mara moja tuu kwa mwaka
Yaani Waziri na wizara yote nikama hawafai hizo nafasi ,kama alivyo sema ex cag Asad ,kwanza nimeshangaa sana Mwigulu amepataje muda wa kufikiri na kutunga mashairi ya kumuelezea Raisi Samia wakati amepokea wizara bajeti imeshapangwa na huku akitarajiwa kufanya mabadiliko muhimu !!?? Ukweli bora katiba mpya ije hizi nafasi za viongozi wajuu waziombe na kufanyiwa vetting kama kenya vile,vinginevyo ndio hii kuteua wavivu wakufikiria,Uwezo wa viongozi wetu wa kufikiri una walakini. Wananchi masikini wanakwenda kubebeshwa mzigo wa malipo ya kodi ya majengo tena. Nasema hivi kwa kuwa nyumba nyingi wapangaji ndiyo wanaonunua umeme na wala si wamiliki.
Sasa kitendo cha kukata kodi ya pango la jengo kutoka kwenye umeme ni kuwaumiza wananchi masikini wa nchi hii huku wamiliki wa majengo hayo wakiendelea kuchukua kodi zao kama kawaida.
Bajeti mbaya kuwahi kutokea tangu Uhuru.
Bajeti ya 2022/2023 tutakata kodi ya ardhi,(land rent) kwenye meta za maji , watakaokuwa walipaji wakuu ni wapangaji na si wamiliki tena
Ndiyo ujue akili za wabunge wa ccm. Na hakuna mpinzani kwa hiyo hiyo itapita tu kiulaini!!!Uwezo wa viongozi wetu wa kufikiri una walakini. Wananchi masikini wanakwenda kubebeshwa mzigo wa malipo ya kodi ya majengo tena. Nasema hivi kwa kuwa nyumba nyingi wapangaji ndiyo wanaonunua umeme na wala si wamiliki.
Sasa kitendo cha kukata kodi ya pango la jengo kutoka kwenye umeme ni kuwaumiza wananchi masikini wa nchi hii huku wamiliki wa majengo hayo wakiendelea kuchukua kodi zao kama kawaida.
Bajeti mbaya kuwahi kutokea tangu Uhuru.
Na itapitishwa kwa kishindo na ma-nzi ya kijaniUwezo wa viongozi wetu wa kufikiri una walakini. Wananchi masikini wanakwenda kubebeshwa mzigo wa malipo ya kodi ya majengo tena. Nasema hivi kwa kuwa nyumba nyingi wapangaji ndiyo wanaonunua umeme na wala si wamiliki.
Sasa kitendo cha kukata kodi ya pango la jengo kutoka kwenye umeme ni kuwaumiza wananchi masikini wa nchi hii huku wamiliki wa majengo hayo wakiendelea kuchukua kodi zao kama kawaida.
Bajeti mbaya kuwahi kutokea tangu Uhuru.
Huku ni kuwaza kinyumejamani ifike mahali tusiwe wepesi wa kulalamika kila kitu hivi jamani shilingi elfu moja kwa mwezi hata hao wapangaji wanaweza kulalamika kweli?elfu moja? elfu 12 kwa mwaka unamiliki nyumba au umepanga itakushinda mpaka uje ulalamike huku? sawa kama mpangaji ni mmoja basi mbona hesabu rahisi tu analipa elfukumi hiyo ya kodianakukata kwenye kodi simple tu