Kukatika kwa Umeme kwakwamisha Treni ya umeme SGR njiani

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Treni ya abiria ya SGR iliyokuwa ikitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam leo asubuhi imekwama katika eneo la Stesheni ya Pugu.

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kukwama kwa treni hiyo kumesababishwa na hitilafu kwenye Gridi ya Taifa iliyopelekea kukosekana kwa huduma ya umeme.
1751189740940.png
 
Walisema kwamba treni inahifandhi umeme, umeme ukikatika inaenda kama kawaida, what happened au ni mimi kumbukumbu zangu hazipo sawa?
 
Treni ya abiria ya SGR iliyokuwa ikitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam leo asubuhi imekwama katika eneo la Stesheni ya Pugu.

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kukwama kwa treni hiyo kumesababishwa na hitilafu kwenye Gridi ya Taifa iliyopelekea kukosekana kwa huduma ya umeme.
Treni mchongoko
 
Kwanini tusiongee na Elon Mask aje kutufungia mfumo wa umeme kwenye Train zetu ili tutemane na umeme wa gridi ya Taifa? Siwalisema matrean haya yana ma power Bank ,umeme ukikatika yatakuwa yanajiunganishia umeme wakutoka kwenye manpower Bank yenye mfumo wa UPS yenyewe ?
 
Back
Top Bottom