Kukatika kwa Umeme kwakwamisha Treni ya umeme SGR njiani

Kukatika kwa Umeme kwakwamisha Treni ya umeme SGR njiani

Yes ni bora.
Pamoja na kusomeshwa shule na wazazi wako ili uondokane na ujinga leo umeamua kuurudia ujinga kwa minajili ya kumtetea samia ambaye hata siyo mama yako?

Mmelogwa au ni nini nyie?au njaa?
 
Hii ilitakiwa itokee wakati namba 1 yumo ndani

Ova
 
Pamoja na kusomeshwa shule na wazazi wako ili uondokane na ujinga leo umeamua kuurudia ujinga kwa minajili ya kumtetea samia ambaye hata siyo mama yako?

Mmelogwa au ni nini nyie?au njaa?
Kwa hiyo Mama yako na Mama aliyepo Ulaya aliyezaa mtoto,
kwa akili zako ni bora kuliko mamako kwa sababu yeye yupo Ulaya?.SGr ya Tz inashinda treni nyingi za Ulaya kwa ubora. Tembea uone.
 
Back
Top Bottom