Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Walisahau powerbank?Treni ya abiria ya SGR iliyokuwa ikitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam leo asubuhi imekwama katika eneo la Stesheni ya Pugu.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kukwama kwa treni hiyo kumesababishwa na hitilafu kwenye Gridi ya Taifa iliyopelekea kukosekana kwa huduma ya umeme.
Mr. PimbiNimejifunza kuwa watu wa Kigoma ni machawa wa Asili.
Kafulila
Babalevo
Mwijaku
Lakini, mkumbuke hii "tereni ya sijiara"inazizidi treni nyingi za Ulaya.Treni ya abiria ya SGR iliyokuwa ikitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam leo asubuhi imekwama katika eneo la Stesheni ya Pugu.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kukwama kwa treni hiyo kumesababishwa na hitilafu kwenye Gridi ya Taifa iliyopelekea kukosekana kwa huduma ya umeme.
Haiondoi ukweli kwamba ni nzuri! Changamoto kama hizi za kukatika umeme zitamallzwa na back up!Kafurila anasema treni hizi ni bora kuliko za Ulaya
Group kuna wasaliti naenda nyumba kwa nyumba, plz wezesha basi?Hujaniunga kwenye group,, why?
Alitakiwa Kukamatwa Haraka Sana Na Kutupwa Ndani Kwa Kauli YakeKafurila anasema treni hizi ni bora kuliko za Ulaya
Haina Huduma Hiyo Yale Yalikuwa Maneno TuWalisahau kuichaji
Ndio ukweli, umeileta humu ili iweje? We mburukenge inaonekana unawashwa na ******Treni ya abiria ya SGR iliyokuwa ikitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam leo asubuhi imekwama katika eneo la Stesheni ya Pugu.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kukwama kwa treni hiyo kumesababishwa na hitilafu kwenye Gridi ya Taifa iliyopelekea kukosekana kwa huduma ya umeme.
Ni "nzuri" kuliko za Ulaya.Haiondoi ukweli kwamba ni nzuri! Changamoto kama hizi za kukatika umeme zitamallzwa na back up!
Akili duamvu siku zote hazitaki kutoka mahalo ilipo. Hata hao wazungu walianza na changamoto kubwa kuliko hiyo.Aisee ni utani kusema Umeme kwa treni ya Umeme siyo changamoto..
Tukubaliane tu kwamba tuko Dunia ya 3 na haya ndo maisha yetu tuliyozoea, tuendelee mbele...
Yes ni bora.Ni bora kuliko za ulaya???
Daah wangetafutana na kukimbizana.Hii itilafu ingetokea juzi kati hapa muda ambao yule mtu anaelekea dodoma
Walisema kwamba treni inahifandhi umeme, umeme ukikatika inaenda kama kawaida, what happened au ni mimi kumbukumbu zangu hazipo sawa?
Labda alikuwa anamaanisha yale mataruma? ππππNi "nzuri" kuliko za Ulaya.
Umechukua saa ngapi mpaka unarudi?Ndo umeme umerudi hapa ndo tunaelekea kariakoo sasa, π₯Ί
Haya fika nyumbani kwangu asapGroup kuna wasaliti naenda nyumba kwa nyumba, plz wezesha basi?