Kukatika kwa Umeme ni Dar es Salaam yote au baadhi ya maeneo tu?

Umeme umerud dar!
ingawa haitoshi kusema tutamsahau mwamba
 
city center yote ,ni kelele za genset tu
 

Nipo Minjingu huku natumia Solar!!
 
Kuna series inaitwa 24 HOURS,

Magaidi walienda kukata nyaya kwenye mkonga wa taifa ili kukwamisha mawasiliano ya internent maana walijua kuwa kitengo cha kupambana na ugaidi CTU kitakuwa hakipo active,

Sometimes matukio kama haya huwa yanaweza kufanywa na watu wenye nia ovu na taifa
NB Nimewaza kwa akili za ki movie movie
 
Mama anaupiga mwingi.

Uzembe makazini umesharejea kama kawaida..
 
Ooohh ok but sikuwaza kama Moro itaweza kutuathiri wote
Umeme unaozalishwa huwa unaingizwa kwenye gridi ya Taifa...

Umesahau kwamba Kihansi na Kidatu zipo Morogoro na ni mabwawa ya kuzalisha umeme wa maji?
 
Umeme umerudi mda mrefu,maeneo yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…