Kukatika kwa Umeme ni Dar es Salaam yote au baadhi ya maeneo tu?

Umeme umerudi maeneo yote,toka saa sita ya mchana leo.
 
I think it could just be a technical Fault Mkuu kutokana na Miundombinu mibovu ya TANESCO au haya Matengenezo yao wanayoyafanya kwa sasa sehemu mbalimbali.

Kwani kama unauzungumzia huu uliokatika leo Jijini Dar es Salaam nikutaarifu tu kuwa umekatika hadi yale Maeneo Muhimu ya Watu wanaoogopwa na Taasisi zinazoogopesha nchini Tanzania
 
Umeme unaozalishwa huwa unaingizwa kwenye gridi ya Taifa...

Umesahau kwamba Kihansi na Kidatu zipo Morogoro na ni mabwawa ya kuzalisha umeme wa maji?

Watu wanajua umeme wote unazalishwa DAR!! 😀 😀 😀 ,Tuwakumbushe kwamba June 2022 ,Umeme wa bwawa la nyerere nao utaanza kutumika..unatokea rufiji.
 
Asante mwananchi mwenzangu,sisi tukitoa taarifa ya tatizo la umeme,sehemu tulipo,huwa Tanesco ,hawachukui hata nusu saa wameshafika,na kutatua tatizo.
Tunamshukuru Rais Hassan katika hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…