Kukatika umeme kwenye baadhi ya maeneo leo ni maandalizi ya kutunyima taarifa juu ya kitakachoendelea kesho Julai 23?

Kukatika umeme kwenye baadhi ya maeneo leo ni maandalizi ya kutunyima taarifa juu ya kitakachoendelea kesho Julai 23?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wakuu,

Baadhi ya maeneo leo umeme umekatika mapema asubuhi mpaka sasa hola. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa juu ya kukatwa kwa umeme kwa baadhi ya maeneo.

Je, haya ni maandalizi ya kutunyima taarifa kwa yale yatakayojiri kesho? Haishindwi kutokea na mitandao yote ya kijamii ikawa chini nchini.

Tuliosoma Cuba tushaweka VPN zetu tayari.
 
Back
Top Bottom