Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakaribia kuzungumza lugha moja !Naunga mkono hoja 100%.
Wazembe wa sehemu nyeti kama hizo ni wahujumu uchumi.
Zianzishwe sheria kama za China. Wauliwe tu.
Kwani miaka yote naongea Kichina? Au unanisoma kwa uoga?Tunakaribia kuzungumza lugha moja !
Anza na Makamba kaiua TANESCO sababu ya tamaa zakeNaunga mkono hoja 100%.
Wazembe wa sehemu nyeti kama hizo ni wahujumu uchumi.
Zianzishwe sheria kama za China. Wauliwe tu.
Hata wao shida wanapata pia kama sisiTunakaribia kuzungumza lugha moja !
Zamani maji yakijaa yalikuwa yanafunguliwa yapungue sana ili umeme ukatike !Mpaka maji yanaingia walikua wapi?
Uzembe tu.
Hili ndio suala TANESCO inabidi walijibu kwa ufasaha.Mpaka maji yanaingia walikua wapi?
Uzembe tu.
Makamba ndiyo kaifufuwa, kaikuta imekufa kipindi cha mwendazake.Anza na Makamba kaiua TANESCO sababu ya tamaa zake
Umeme ulikuwa haukatwi hovyo hovyo kabla ya Makamba, akaja na software ya bilioni 67 bila aibu, sijui software ndiyo mitambo, akabadili mita namba kabla ya muda wake zote hizo ni dili zake.Makamba ndiyo kaifufuwa, kaikuta imekufa kipindi cha mwendazake.
Ina maana hapakuwa na watu site? hizo ni dili za MakambaBwana fundi, ukitaka kupunguza au kuongeza uzalishaji wa umeme kwenye hiyo mitambo unafanya nini na maji?? Kama jibu unalijua basi endelea ...
Sasa hicho kinachotumika kudhibiti kiasi cha maji yanayoingia ili kuendana na mahitaji ya umeme ya wakati husika ndio kiliharibika.
Hivyo basi maji mengi yakaingia bila udhibiti wowote. Mitambo lazima izime kwasababu frequency ya umeme unaozalishwa itakuwa kubwa kulika ya grid na hivyo mtambo yote itapoteza 'synchronization'.
Mwisho wa siku turbines zimesimama lakini bado maji yanatiririka kwa full force, lazima pafurike.
Hapo ndipo napokusomaga kwa uoga !Makamba ndiyo kaifufuwa, kaikuta imekufa kipindi cha mwendazake.
Kama kuna hujuma basi ni kwenye kuichokonoa hiyo governor inayodhibiti kiwango cha maji. Lolote linawezekana.Ina maana hapakuwa na watu site? hizo ni dili za Makamba
Anzisha tatizo ili pesa zipigwe kisawasawa !!Ina maana hapakuwa na watu site? hizo ni dili za Makamba
Hili shirika linahujumiwa pakubwa snKama kuna hujuma basi ni kwenye kuichokonoa hiyo governor inayodhibiti kiwango cha maji. Lolote linawezekana.
Lakini baada ya hiyo kufeli grid nzima inazimika na hakuna wanachoweza kufanya zaidi ya kungojea irudi, kisha watumie umeme kutoka kwenye grid kuwasha kila kitu ikiwa ni pamoja na pump za kuondoa maji kule ndani.
Baada ya hapo ndio matengenezo yaanze.
Hakuna wa kuzuia sahiviAnzisha tatizo ili pesa zipigwe kisawasawa !!
Shamba la bibi !
Mwendazake alisemaga jamaa walikuwa wakiyafungulia maji ili maji yapungue umeme ukosekane. !Kama kuna hujuma basi ni kwenye kuichokonoa hiyo governor inayodhibiti kiwango cha maji. Lolote linawezekana.
Lakini baada ya hiyo kufeli grid nzima inazimika na hakuna wanachoweza kufanya zaidi ya kungojea irudi, kisha watumie umeme kutoka kwenye grid kuwasha kila kitu ikiwa ni pamoja na pump za kuondoa maji kule ndani.
Baada ya hapo ndio matengenezo yaanze.
Safi sana , now we are talking.Bwana fundi, ukitaka kupunguza au kuongeza uzalishaji wa umeme kwenye hiyo mitambo unafanya nini na maji?? Kama jibu unalijua basi endelea ...
Sasa hicho kinachotumika kudhibiti kiasi cha maji yanayoingia ili kuendana na mahitaji ya umeme ya wakati husika ndio kiliharibika.
Hivyo basi maji mengi yakaingia bila udhibiti wowote. Mitambo lazima izime kwasababu frequency ya umeme unaozalishwa itakuwa kubwa kulika ya grid na hivyo mtambo yote itapoteza 'synchronization'.
Mwisho wa siku turbines zimesimama lakini bado maji yanatiririka kwa full force, lazima pafurike.
Akikujibu nitag.Safi sana , now we are talking.
Sasa ungenipa majibu ya yafuatayo tutajua kuwa kulikuwepo uzembe au la!
1. Je, Mara ya mwisho lini hicho idhibiti maji yanayoingia kwenda turbines kilikaguliwa?
2. Je kidhibiti maji yanayoenda kwenye turbines kimesha wahi kufanyiwa maintainance, au mara ya mwisho ni lini kilifanyiwa maintainance.
3. Je wasimaizi waliopo wana utallam wa kuziona hizo risks, na kujua kuwa hiyo failure siyo bahati mbaya?
Mkuu ukinijibu haya maswala ya msingi tutakuwa pamoja.
Hakuna hitilafu ya kiufundi ambayo Haina sababu.mambo ambayo ni hitilafu za kiufundi huwezi panga au kutarajia yatatokea lini na muda gani, ukilaumu watu kwenye hilo basi ni gubu binafsi tu 🐒
kwasabb ingekua tuna uwezo wa kujua lini na saa ngapi jambo fulani litatokea basi tungejua pia lini na saa ngapi tutaugua na kupona au tutakufa 🐒
hitilafu ni hitilafu tu,
ni vizuri kuwa wastahimilivu na wenye subra kwenye mambo haya ambayo kibinadamu ni ngumu kuyabaini kwanza hadi yatokee🐒