Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
sababu mbona iko na imewekwa bayana kabisa 🐒Hakuna hitilafu ya kiufundi ambayo Haina sababu.
Kwa mfano, unaambiwa badilisha oil na oil filter kwenye gari baada ya kutembea km 5000. Wewe ukitembeza gari km 15,000 ukapata matatizo ya engine utasema ni tatizo la kiufundi au uzembe wa kufanya maintenance?!
hayupo anaepanga dharura, iwe safarni, iwe kuugua au jupona, dharau hutokea nyumbani, kazini ama kwenye huduma kama vile umeme 🐒
hivi ni vitu vinavyotoke bila yeyote kutarajia ....
ustahimilivu na subra ni muhumu sana kwenye dharura na sio papara na lawama 🐒
Tanesco wanafanya kazi nzuri sana kudeal na mambo haya 🐒