sababu mbona iko na imewekwa bayana kabisa 🐒Hakuna hitilafu ya kiufundi ambayo Haina sababu.
Kwa mfano, unaambiwa badilisha oil na oil filter kwenye gari baada ya kutembea km 5000. Wewe ukitembeza gari km 15,000 ukapata matatizo ya engine utasema ni tatizo la kiufundi au uzembe wa kufanya maintenance?!
Sioni njia nyingine rahisi ya kukuelewesha.sababu mbona iko na imewekwa bayana kabisa 🐒
hayupo anaepanga dharura, iwe safarni, iwe kuugua au jupona, dharau hutokea nyumbani, kazini ama kwenye huduma kama vile umeme 🐒
hivi ni vitu vinavyotoke bila yeyote kutarajia ....
ustahimilivu na subra ni muhumu sana kwenye dharura na sio papara na lawama 🐒
Tanesco wanafanya kazi nzuri sana kudeal na mambo haya 🐒
Mkuu mweleze huyo jamaa, anaingiza uchawa katika masuala ya kiufundi.Sioni njia nyingine rahisi ya kukuelewesha.
Inaelekea wewe ni kati ya wanaosema ajali haina kinga!
Ukiendesha gari bovu au ukidharau sheria za usalama ukapata ajali utasema ni mapenzi ya Mungu au no uzembe wako?
Mkuu kuna watu wanabisha tu ili mradi!Mkuu mweleze huyo jamaa, anaingiza uchawa katika masuala ya kiufundi.
actually mie siwezi kua dereva mzuri na makini barabarani, halafu dereva mwingine asiekua muangalifu akifanya makosa ya kuendesha gari vibaya ati nianze kumpigia mihoni hovyo hovyo na huenda na matusi kama yote juu yake.....Sioni njia nyingine rahisi ya kukuelewesha.
Inaelekea wewe ni kati ya wanaosema ajali haina kinga!
Ukiendesha gari bovu au ukidharau sheria za usalama ukapata ajali utasema ni mapenzi ya Mungu au no uzembe wako?
Hizi team mbili hamtakaa muelewane siku za Karibuni Kila MTU anatetea uchawa wakeMakamba ndiyo kaifufuwa, kaikuta imekufa kipindi cha mwendazake.
Vipi lusu na Chapombe, washaelewana?Hizi team mbili hamtakaa muelewane siku za Karibuni Kila MTU anatetea uchawa wake
Nchi hii ni kubwa na inahitaji akili kubwa kweli na haki.Maintanance itself sio solution ya kila kitu, ndio maana hata wanadamu wapo wanaofanyiwa medical check ups kila mara lakini wapo wanaokufa ghafla miongoni mwao.
Tanesco wako vizuri sana, na kwakweli wako tayari kupambana au kushughulika na hitilafu yoyote ya kiufundi au kiasili, ili kusudi nishati ya umeme iwe ya uhakika kwa wateja wake, hata kama kutakua na watu wa kulalamika sana, kudharau sana au kubeza jitihada hizi kwa namna yoyote ile, they remained calm and focused to resolve the challenging issues 🐒
haya maoni na mitazamo ibaki tu kama fursa ya Tanesco kukaa mguu sawa zaidi kukabiliana na changamoto za umeme nchini...
ndio wako vizuri sana,
Application yako ya kuwa Katibu Mwenezi wa TANESCO limekubaliwa.ndio wako vizuri sana,
na ndio maana hayupo miongoni mwao anaeweza kushiriki kuhujumu au kudhoofisha jitihada za shirika kwa kutumwa, kwa ujanja ujanja au tamaa zake atasalimika....
shirika liko rada muda wote na kwakweli liko chonjo mbaya sana dhidi ya hitilafu za kiufundi, kiasili au hujuma....
hata hivyo pamoja na hayo yote yaliyosemwa na NWM, na mengine ambayo hayajasemwa, labada kwasabab hayajabainika bado,
shirika linafanya kila jitihada mbadala kuhakikisha nishati hii muhimu sana ya umeme nchini, inaendelea kua ya uhakika maeneno yote nchini, na wanainchi wanaendelea kuitumia vya kutosha katika kazi zao mbalimbali za uzalishaji na kujiongezea kipato na kukuza uchumi wa Taifa....
mimi ni mtumishi ya wanainchi...Application yako ya kuwa Katibu Mwenezi wa TANESCO limekubaliwa.
Maana kwa msimamo wako hata Jambazi, mwizi na mhujumu utamwita messiah mzalendo!
Mnyonge ndo mtu gani nchi hiisi sawa, na hakuna kazi ya kushindwa [emoji205]
Tanesco itang'ang'ana na kukabiliana na kila aina ya changamoto, whether ni hujuma au changamoto ya msingi bila kuchoka, kupumzika wala kukata tamaa, mpaka pale mtanzania huyu mnyonge wa chini, wa kati, na hata yule wa juu wamepata huduma ya umeme wa kutosha na wa uhakika, ili kusudi waendelea vema na kazi zao za uzalishaji na kukuza uchumi [emoji205]
habari ya kukata tamaa na kuachia ngazi mbaki nayo wenyewe tu huko huko [emoji205]
Hata huko upande wa pili mnapiga pombe dada yangu kipenziVipi lusu na Chapombe, washaelewana?
Siku ya idd na nyie wawakatie twende draw au siyo 😄Vipi lusu na Chapombe, washaelewana?
Vipi lusu na Chapombe, washaelewana?Hata huko upande wa pili mnapiga pombe dada yangu kipenzi
Ova
Vipi lusu na Chapombe, washaelewana?Hata huko upande wa pili mnapiga pombe dada yangu kipenzi
Ova