Elections 2015 Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

Ukisoma huelewi basi hata picha huoni?
Kama picha tuu inadhibitisha ugonjwa wa mtu, basi ile picha ya Jangwani na kule Mwanza ya kupiga mweleka ndiyo ungekuwa udhibitisho mahsusi wa ugonjwa. Tena ule ambao watu wanakatazwa kusogelea jikoni.
 

Hujaeleweka rudia tena.
 

Ungemshauri mapema aachane na jinamizi la ccm! umemuacha amechukuwa form na sasa ameadhirika.
poor Pasco
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Kichwa cha habari hapo juu chahusika!

1. Andaa mkutano wa hadhara hapo JANGWANI, Kwenye huo mkutano hakikisha Unamwaga MBOGA, UGALI, MAJI YA KUNAWA NA yA KunYWA! mwaga kila kitu usibaki hata kimoja!

2. Hakikisha Unawaomba radhi na kutubu madhambi yote mliyowafanyia "watanzania" tangu uhuru ilipokuwa ccm!

3.Hakikisha Unaongozwa sala ya toba na hapo hapo uwanjani na mchungaji yeyote utakayemwandaa kwa ajili ya tukio hilo(hili ni muhimu sana ili kuzawaliwa upya baada ya kumtumia shetani(ccm) kwa muda mrefu!

4.Baada ya kukamilisha taratibu hizo hapo juu OMBA UKAWA WAKUPOKEE KWA MIKONO MIWILI na UPEWE KADI AMA YA CDM/CUF/NCCR-MAGEUZI/NLD!

5.Baada ya hiyo no4 sasa washukuru UKAWA na wananchi kwa ujumla na utangaze msimamo wa KUMUUNGA MKONO MGOMBEA WA UKAWA!


Mwisho, baada ya hatua zote hizo hakika utakuwa kiumbe KIPYA NA hakuna wa kukuita KUBWA LA MAFISADI TENA!

KARIBU UKAWA-SAFARI YA UHAKIKA KUELEKEA WHITE HOUSE MAGOGONI.
 
Kwani itaisha saa ngapi ama lini ili na mimi niagize maji ya kandoro na mahindi ya kuchoma ya kutosha pamoja na ndimu na chumvi ya pilpili.

Hii ni Tamthilia mkuu siyo picha la kawaida lenye part 1 & 2, hayo maji ya Kandoro na mahindi ya kuchoma yatakuumiza tumbo bure, maana mwisho wa hii movie haujulikani. Hii ni kama ISIDINGO!!!
 

Hilo pia neno mkuu
 
Nimejikuta nacheka tu

Kwa kuwa Slaa ni Padre, hiyo kazi ya kumbandikia mikono na kumsalisha sala ya toba angeifanya yeye
 

Tafarijika sana endapo Lowassa atapokelewa UKAWA yaani hata jezi za CCM muda huu nataka kuzipiga moto nisizione zikining'inia chumbani kwangu. Endapo atang'ang'ania CCM taidharau sana falsafa yake ya maamuzi magumu.
 

Attachments

  • 1436604107780.jpg
    71.7 KB · Views: 254
Pasco ni vizuri akashauriwa kutulia na kukubali yaliyotokea kama malecela,hapo ataitunza heshima yake japo kiduchu aliyopewa juzi bungeni.

kazi ya kuindoa ccm imeanza kwa maana ya kupitia UKAWA na hii ni kwa sababu ccm imefanya kosa kumkata MAKONGORO,hiyo ndio dhambi itakayowaondoa CCM na sio hii ya kukatwa EL
 
Last edited by a moderator:
Labda hiyo numba 1 ingekuja mwisho, maana akimwaga ugali tu, nae amemwagika!
 
by Mmawia;
Hilo pia neno mkuu



Mkuu Mmawia nakushukuru sana kamanda!
Mamvi kama anataka kujiunga na jeshi la ukombozi lazima atubu na amwage yote!

Huu ndio muda wa maamuzi MAGUMU Anayosemaga yeye ni mzee wa maamuzi magumu!
 
Last edited by a moderator:
by Mmawia;
Hilo pia neno mkuu



Mkuu Mmawia nakushukuru sana kamanda!
Mamvi kama anataka kujiunga na jeshi la ukombozi lazima atubu na amwage yote!

Huu ndio muda wa maamuzi MAGUMU Anayosemaga yeye ni mzee wa maamuzi magumu!
 
Last edited by a moderator:
by Mmawia;
Hilo pia neno mkuu



Mkuu Mmawia nakushukuru sana kamanda!
Mamvi kama anataka kujiunga na jeshi la ukombozi lazima atubu na amwage yote!

Huu ndio muda wa maamuzi MAGUMU Anayosemaga yeye ni mzee wa maamuzi magumu!

Mkuu kwa kupitia process hiyo hapo juu hilo linawezekana na watanzania wanaweza kuelewa nini kilitokea
 
Last edited by a moderator:
Hii ni Tamthilia mkuu siyo picha la kawaida lenye part 1 & 2, hayo maji ya Kandoro na mahindi ya kuchoma yatakuumiza tumbo bure, maana mwisho wa hii movie haujulikani. Hii ni kama ISIDINGO!!!
Ha ha ha ha kweli mkuu halafu huenda yakanipa shida wakati wa kushusha mzigo.
Hebu nishauri nikiagiza mihogo mibichi na karanga mbichi navyo vitakuwa na madhara?
 
Kosa la Lowassa lilitokea Arusha kwa kushindwa kuwa muwazi huku watu wakitegemea ataongea lile lililosubiriwa kwamba yeye si fisadi na kumtaja kubwa la mafisadi hadharani...Tatizo hakufanya hivyo...there is no 2nd chance pole yake na apumzike aiache hii ngomo kwa UKAWA wamalize kwani wagombea wa CCM ni wepesi mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…