Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Labda hiyo numba 1 ingekuja mwisho, maana akimwaga ugali tu, nae amemwagika!
Una maanisha nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda hiyo numba 1 ingekuja mwisho, maana akimwaga ugali tu, nae amemwagika!
Umeambiwa kiongozi wa dini,huyo Dr slaa umemtoa wapi?
Hivi mnapata faida gani kupotosha uko shule mlikwenda kusoma nini ujinga?
Membe na Maghufuli ni Waislam?
Ha ha ha ha kweli mkuu halafu huenda yakanipa shida wakati wa kushusha mzigo.
Hebu nishauri nikiagiza mihogo mibichi na karanga mbichi navyo vitakuwa na madhara?
Thid thread is full of sarcasm....if you wanna take it serious pole brother
Kosa la Lowassa lilitokea Arusha kwa kushindwa kuwa muwazi huku watu wakitegemea ataongea lile lililosubiriwa kwamba yeye si fisadi na kumtaja kubwa la mafisadi hadharani...Tatizo hakufanya hivyo...there is no 2nd chance pole yake na apumzike aiache hii ngomo kwa UKAWA wamalize kwani wagombea wa CCM ni wepesi mno!
Nauliza hilo la Dr slaa tu mkuu ameingiaje hapo?
Je si moja ya majukumu ya padre kuungamisha?
Nani kakwambia kuwa Dr slaa bado ni padri?
Je si moja ya majukumu ya padre kuungamisha?
Sick......
Wacheni tabia za kupenda kuwakashfu viongozi wenu
Nitashauriana nae,na hii itakuwa poa sana coz kwenye matangazo ama mapumziko na mimi nitapata wasaa mzuri wa kupumzika iwe kwa permanent au part time.Hapo nafikiri uombe ushauri kwa shemeji anaweza kuwa msaada zaidi kwamba uagize hivyo au la, kama huna wa permanent hata wa part time tu.
Bro kuna kitu huko sawa.....
Ngoja nikupishe
Pasco ni vizuri akashauriwa kutulia na kukubali yaliyotokea kama malecela,hapo ataitunza heshima yake japo kiduchu aliyopewa juzi bungeni.
kazi ya kuindoa ccm imeanza kwa maana ya kupitia UKAWA na hii ni kwa sababu ccm imefanya kosa kumkata MAKONGORO,hiyo ndio dhambi itakayowaondoa CCM na sio hii ya kukatwa EL
by Cathode Rays;
Nimejikuta nacheka tu
Kwa kuwa Slaa ni Padre, hiyo kazi ya kumbandikia mikono na kumsalisha sala ya toba angeifanya yeye
Mkuu Cathode Rays, wewe endelea kucheka tu!
Hiyo namba 1 ndio msingi wa mkutano hapo Jangwani LAZIMA AANZE NAYO~mchuzi wa mbwa hunyewa ungali bado wa moto, ukipoa hutaweza kuunywa!
Kinachokusumbua wewe ni nini sasa?Khaa!! Kuna watu wanaumaind urais kuliko hata EL mwenyewe. Sijui wamepanic? Jamani AMEISHAKATWA