Elections 2015 Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

Elections 2015 Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

Pasco pole kwa yaliyokufika,ulitafuta kuwa Tomaso sasa umeona,weledi wako wooote wa hapa JF,uliishia kupenda upofu.kwa hali yoyote ile CCM imefanya kama EL alivyotaka kifupi imemtendea haki kwa kujibu mapigo.Mtia nia huwezi kwa wakati mmoja ukawa kama mtia nia asiye na chama.
 
Ha ha ha ha kweli mkuu halafu huenda yakanipa shida wakati wa kushusha mzigo.
Hebu nishauri nikiagiza mihogo mibichi na karanga mbichi navyo vitakuwa na madhara?

Hapo nafikiri uombe ushauri kwa shemeji anaweza kuwa msaada zaidi kwamba uagize hivyo au la, kama huna wa permanent hata wa part time tu.
 
Kosa la Lowassa lilitokea Arusha kwa kushindwa kuwa muwazi huku watu wakitegemea ataongea lile lililosubiriwa kwamba yeye si fisadi na kumtaja kubwa la mafisadi hadharani...Tatizo hakufanya hivyo...there is no 2nd chance pole yake na apumzike aiache hii ngomo kwa UKAWA wamalize kwani wagombea wa CCM ni wepesi mno!

Afadhali ya pamba ni mzito
 
by Cathode Rays;
Nimejikuta nacheka tu

Kwa kuwa Slaa ni Padre, hiyo kazi ya kumbandikia mikono na kumsalisha sala ya toba angeifanya yeye

Mkuu Cathode Rays, wewe endelea kucheka tu!
Hiyo namba 1 ndio msingi wa mkutano hapo Jangwani LAZIMA AANZE NAYO~mchuzi wa mbwa hunyewa ungali bado wa moto, ukipoa hutaweza kuunywa!
 
Last edited by a moderator:
Hapo nafikiri uombe ushauri kwa shemeji anaweza kuwa msaada zaidi kwamba uagize hivyo au la, kama huna wa permanent hata wa part time tu.
Nitashauriana nae,na hii itakuwa poa sana coz kwenye matangazo ama mapumziko na mimi nitapata wasaa mzuri wa kupumzika iwe kwa permanent au part time.
 
Pasco ni vizuri akashauriwa kutulia na kukubali yaliyotokea kama malecela,hapo ataitunza heshima yake japo kiduchu aliyopewa juzi bungeni.

kazi ya kuindoa ccm imeanza kwa maana ya kupitia UKAWA na hii ni kwa sababu ccm imefanya kosa kumkata MAKONGORO,hiyo ndio dhambi itakayowaondoa CCM na sio hii ya kukatwa EL

Sahihi kabisa mkuu!
Wangekuwa na fighting chance kama wangempitisha Makongoro.... poor them! JK anamtaka ndugu yake Membe, hilo ndo tatizo.
 
by Cathode Rays;
Nimejikuta nacheka tu

Kwa kuwa Slaa ni Padre, hiyo kazi ya kumbandikia mikono na kumsalisha sala ya toba angeifanya yeye

Mkuu Cathode Rays, wewe endelea kucheka tu!
Hiyo namba 1 ndio msingi wa mkutano hapo Jangwani LAZIMA AANZE NAYO~mchuzi wa mbwa hunyewa ungali bado wa moto, ukipoa hutaweza kuunywa!

Mkuu nkuwi nashukuru kunielewa

Kuna mtu hap mpenda shari naona anataka kukuza mambo

Ahsante kwa thread nzuri yenye kufurahisha though you camt expect mtu kama Lowasa kuwa na utadhi wa kufanya haya....hahahaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom