Kukazia hukumu

Kukazia hukumu

inyele

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2017
Posts
1,661
Reaction score
1,299
Salaam wakuu!
Wanajamvi nilifungua shauri la madai katika mahakama ya mwanzo dhidi ya bwana mmoja jirani yangu ambaye alionekana kuwa mgumu kunilipa pesa yangu niliyomkopesha mwaka juzi 2022!
Huyu bwana alitingwa na maisha akaja kwangu Kama jirani na rafiki yangu , akanieleza changamoto anazopitia Hadi kuomba nimkopeshe pesa na kuahidi kunilipa mwisho wa mwezi na atanilipa na fidia kiasi. Nilikubali ombi lake na kumpatia hicho kiasi cha pesa !
Mwisho wa mwezi ulipofika alishindwa kunilipa pesa yangu na kuniomba nimvumilie Hadi mwezi ujao na akaahidi kuongeza cha juu kwa muda unaoongezeka!
Huyu bwana hakuweza kunipa chochote takriban mwaka mzima na hatimaye mwezi wa 2 mwaka huu nkampeleka mahakamani ambako nilijua ntapata msaada wa kisheria jinsi ya kupata haki yangu. Kesi ikasikilizwa na mdaiwa akaamriwa kulipa pesa yangu yote na gharama ya usumbufu kidogo (hapa riba/fidia aliyoahidi mdaiwa aliikataa na mahakama ikakubaliana naye). Nikasema wache iende hivyo hivyo maneno yasiwe mengi.

Muda wa kulipa kadri ya maamuzi ya mahakama ukaisha bila mdaiwa kunipatia pesa yangu japo nusu. Nikarudi mahakamani kutoa taarifa na kuambiwa nijaze fomu kwa ajili ya kukazia hukumu. Nilijaza fomu na kulipia Kama kawaida na kupatiwa fomu ya wito ili niipeleke tena kwa mdaiwa mhukumiwa.

Tulirudi tena mahakamani kuulizana kwanini mdaiwa hajalipa deni lake Kama alivyoamriwa! Katika vuta nikuvute huyu bwana akadunduliza na kupata pesa yote kadri ya hukumu ilivyosema mwanzo.

Tatizo linaanzia hapa!
Je, pesa nilizotumia wakati wa kukazia hukumu ni juu ya nani? Nani anawajibika kulipia usumbufu wa Mara ya pili ikizingatiwa Kuna gharama zingine zimelipiwa mahamani na wote wanajua?
Nilipohoji nilijibiwa kuwa hilo ni jukumu langu mdai kulipia gharama zote wakati wa kukazia hukumu. Nikawauliza kuwa je, hamuoni Kama Mimi mdai naendelea kuumia kwan pesa yangu inazidi kupungua na mdaiwa anachekelea licha ya kukwamisha/kukaidi agizo la mahakama? Walinijjbu kuwa mdaiwa Hana cha kulipa zaidi ya pesa ya ailyoamriwa katika hukumu ya mwanzo tu! Tulitifuana Hadi nikaonekana mkorofi mahakamani!
Naomba mwongozo tafadhali
 
Siku hizi mtu akija kukukopa mshauri aende kwenye taasisi za mikopo. Binadamu ni wanyenyekevu wanapohitaji kukopa lakini kwenye kulipa wanazingua sana.
 
Wakati ulipokuwa unafungua shauri la kukaza hukumu ulipaswa kuweka gharama za ukazaji wa hiyo hukumu, mahakama ingezingatia hilo!
 
Je, pesa nilizotumia wakati wa kukazia hukumu ni juu ya nani?
Mkuu mimi nitakujibu kwa kadiri ninavyoelewa. Ni ivi, kesi inapokuwa katika stage ya kukazia hukumu mwenye jukumu wa gharama izo ni mdaiwa lakini hulipwi wewe badala yake ni dalali wa mahakama (court broker) kwasababu kwenye kukazia hukumu ni yeye ndo anatakiwa kushughulikia kila kitu na si wewe, kwaio anayegharamika ni yeye(sasa sijajua exactly ulikua unahitaji gharama zipi zaidi🤔?)​
Nani anawajibika kulipia usumbufu wa Mara ya pili ikizingatiwa Kuna gharama zingine zimelipiwa mahamani na wote wanajua?
Gharama za kukazia hukumu mahakama ya mwanzo hazizidi Tsh 10,000/=. Sasa je, ndo gharama unayoipigania ama?​
Nilipohoji nilijibiwa kuwa hilo ni jukumu langu mdai kulipia gharama zote wakati wa kukazia hukumu.
Nadhani ungeeleza wazi ni nani aliyekupa majibu haya (either hakimu, karani au dalali) ingekua rahisi zaidi concern yako kueleweka. Hata hivyo, kama nilivyosema mwanzo gharama za kukazia hukumu (kwamaana ya form) hazizidi elfu 10.​
je, hamuoni Kama Mimi mdai naendelea kuumia kwan pesa yangu inazidi kupungua na mdaiwa anachekelea licha ya kukwamisha/kukaidi agizo la mahakama?
Kwanza unatakiwa kufahamu mahakama aiwezi mpa mtu kitu ambacho ajakiomba, na maombi ya gharama zote yanafanywa mwanzoni kabisa kabla kesi aijaanza sikilizwa (kiujumla zinaitwa gharama za kesi) na pia ni maamuzi ya mahakama (court discretion) kukupa au kutokukupa gharama izo.​
Walinijjbu kuwa mdaiwa Hana cha kulipa zaidi ya pesa ya ailyoamriwa katika hukumu ya mwanzo tu
Kena nani walikujibu? Na nahisi kuna kitu unachanganya, hukumu ni moja tu hapo, maamuzi ya kukazia hukumu ayawezi kutafsirika kama hukumu ya pili. Kwahiyo, nadhani kama nilivyokwisha eleza apo juu gharama unatakiwa uziombe kabla ya kesi kusikilizwa na hata kupewa ni discretion ya mahakama.​
Salaam wakuu!
Wanajamvi nilifungua shauri la madai katika mahakama ya mwanzo dhidi ya bwana mmoja jirani yangu ambaye alionekana kuwa mgumu kunilipa pesa yangu niliyomkopesha mwaka juzi 2022!
Huyu bwana alitingwa na maisha akaja kwangu Kama jirani na rafiki yangu , akanieleza changamoto anazopitia Hadi kuomba nimkopeshe pesa na kuahidi kunilipa mwisho wa mwezi na atanilipa na fidia kiasi. Nilikubali ombi lake na kumpatia hicho kiasi cha pesa !
Mwisho wa mwezi ulipofika alishindwa kunilipa pesa yangu na kuniomba nimvumilie Hadi mwezi ujao na akaahidi kuongeza cha juu kwa muda unaoongezeka!
Huyu bwana hakuweza kunipa chochote takriban mwaka mzima na hatimaye mwezi wa 2 mwaka huu nkampeleka mahakamani ambako nilijua ntapata msaada wa kisheria jinsi ya kupata haki yangu. Kesi ikasikilizwa na mdaiwa akaamriwa kulipa pesa yangu yote na gharama ya usumbufu kidogo (hapa riba/fidia aliyoahidi mdaiwa aliikataa na mahakama ikakubaliana naye). Nikasema wache iende hivyo hivyo maneno yasiwe mengi.

Muda wa kulipa kadri ya maamuzi ya mahakama ukaisha bila mdaiwa kunipatia pesa yangu japo nusu. Nikarudi mahakamani kutoa taarifa na kuambiwa nijaze fomu kwa ajili ya kukazia hukumu. Nilijaza fomu na kulipia Kama kawaida na kupatiwa fomu ya wito ili niipeleke tena kwa mdaiwa mhukumiwa.

Tulirudi tena mahakamani kuulizana kwanini mdaiwa hajalipa deni lake Kama alivyoamriwa! Katika vuta nikuvute huyu bwana akadunduliza na kupata pesa yote kadri ya hukumu ilivyosema mwanzo.

Tatizo linaanzia hapa!
Je, pesa nilizotumia wakati wa kukazia hukumu ni juu ya nani? Nani anawajibika kulipia usumbufu wa Mara ya pili ikizingatiwa Kuna gharama zingine zimelipiwa mahamani na wote wanajua?
Nilipohoji nilijibiwa kuwa hilo ni jukumu langu mdai kulipia gharama zote wakati wa kukazia hukumu. Nikawauliza kuwa je, hamuoni Kama Mimi mdai naendelea kuumia kwan pesa yangu inazidi kupungua na mdaiwa anachekelea licha ya kukwamisha/kukaidi agizo la mahakama? Walinijjbu kuwa mdaiwa Hana cha kulipa zaidi ya pesa ya ailyoamriwa katika hukumu ya mwanzo tu! Tulitifuana Hadi nikaonekana mkorofi mahakamani!
Naomba mwongozo tafadhali
Ushauri wangu wa jumla, kama umesha pata madai yako, basi achana na izo gharama ndogo ndogo utaingia gharama nyingine ya kujipotezea muda.​
 
Mkuu mimi nitakujibu kwa kadiri ninavyoelewa. Ni ivi, kesi inapokuwa katika stage ya kukazia hukumu mwenye jukumu wa gharama izo ni mdaiwa lakini hulipwi wewe badala yake ni dalali wa mahakama (court broker) kwasababu kwenye kukazia hukumu ni yeye ndo anatakiwa kushughulikia kila kitu na si wewe, kwaio anayegharamika ni yeye(sasa sijajua exactly ulikua unahitaji gharama zipi zaidi🤔?)​

Gharama za kukazia hukumu mahakama ya mwanzo hazizidi Tsh 10,000/=

Nadhani ungeeleza wazi ni nani aliyekupa majibu haya (either hakimu, karani au dalali) ingekua rahisi zaidi concern yako kueleweka. Hata hivyo, kama nilivyosema mwanzo gharama za kukazia hukumu (kwamaana ya form) hazizidi elfu 10.

Kwanza unatakiwa kufahamu mahakama aiwezi mpa mtu kitu ambacho ajakiomba, na maombi ya gharama zote yanafanywa mwanzoni kabisa kabla kesi aijaanza sikilizwa (kiujumla zinaitwa gharama za kesi) na pia ni maamuzi ya mahakama (court discretion) kukupa au kutokukupa gharama izo.

Kena nani walikujibu? Na nahisi kuna kitu unachanganya, hukumu ni moja tu hapo, maamuzi ya kukazia hukumu ayawezi kutafsirika kama hukumu ya pili. Kwahiyo, nadhani kama nilivyokwisha eleza apo juu gharama unatakiwa uziombe kabla ya kesi kusikilizwa na hata kupewa ni discretion ya mahakama.

Ushauri wangu wa jumla, kama umesha pata madai yako, basi achana na izo gharama ndogo ndogo utaingia gharama nyingine ya kujipotezea muda.​
Jibu murua. Mtoa mada nenda na hili.
Najua mshamalizana ila mpo kwenye stage ya kukomoana sasa. Achia iende.
 
Back
Top Bottom