Kukiita kipindi cha UMBEA ICU ni kuikosea heshima taaluma ya Afya ,wahusika mnakosea sana .

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari wana Jf , Hivi unawezaje ita kipindi cha umbea jina la Chumba ambacho ni chumba maalumu cha wagonjwa mahututi wanao pigania uhai wao ?
Kibaya zaidi unavaa sare za wahudumu na kuanza jadili umbea ,nadhani ni kebehi na kukos heshima kwa watumishi wa afya .
 
Nnafahamu kuna tv show yenye jina kama hilo australia iliwahi kiwepo na ilikuwa inaonyesha mambo yanayo husiana na afya lakini sio Umbea
 
Hii nchi zaidi ruksa. Unaweza anzisha kipindi chako ukaitwa “Ikulu” hafu ndani content zikawa za ajabu ajabu.
 
Kuna haja ya kuangalia hizo title
 
Hio ni tafsiri yako ndugu.
Wao Wana maana yao kujiita ICU ya umbea.
Habari za Umbea unauza sana mjini.
Shigongo katajirika kwa kuuza umbea mjini kabla ya hizi online tv kuwepo
 
Tatizo ni jina hatukai wa tz wengi wanapenda hizo habari
 
Naona kimyaaa ,msije nirushe kwenye kipindi chenu
 
ICU ni Intensive Care Unit, kwamba hata hicho kipindi ni UNIT na kinachofanywa ni Intensive Care kwa UMBEA...
 
Tuwaone na Madela ,khanga na vitu vingine vinavyoendana na maudhui hayo
 
Habari wana Jf , Hivi unawezaje ita kipindi cha umbea jina la Chumba ambacho ni chumba maalumu cha wagonjwa mahututi wanao pigania uhai wao ?
Kibaya zaidi unavaa sare za wahudumu na kuanza jadili umbea ,nadhani ni kebehi na kukos heshima kwa watumishi wa afya .
Kiufupi nikiwa nyumbani siangalii channels za bongo Mimi channels zangu ni Al Jazeera, BBC news, Nat Geo wild, Nat Geo, History, Supersport channels, Family, na za Kenya kwasababu ya Uchaguzi mkuu unaokuja
 
Acha kuchukulia kila kitu seriously, utaumiza akili yako bure
 
Kiufupi nikiwa nyumbani siangalii channels za bongo Mimi channels zangu ni Al Jazeera, BBC news, Nat Geo wild, Nat Geo, History, Supersport channels, Family, na za Kenya kwasababu ya Uchaguzi mkuu unaokuja
Basi unapitwa na vitu vingi vya nyumbani
 
Back
Top Bottom