Kuna haja ya kuangalia hizo titleHii nchi zaidi ruksa. Unaweza anzisha kipindi chako ukaitwa βIkuluβ hafu ndani content zikawa za ajabu ajabu.
Tatizo ni kwenye habari za umbeaNdio vipindi vyenye viewers wengi wao uangalia Jamii inataka nini
Tatizo ni jina hatukai wa tz wengi wanapenda hizo habariHio ni tafsiri yako ndugu.
Wao Wana maana yao kujiita ICU ya umbea.
Habari za Umbea unauza sana mjini.
Shigongo katajirika kwa kuuza umbea mjini kabla ya hizi online tv kuwepo
Basi wasivae vifaa vya kitaalum ya AfyaICU ni Intensive Care Unit, kwamba hata hicho kipindi ni UNIT na kinachofanywa ni Intensive Care kwa UMBEA...
πππ poa mkuu ila inasikitisha mtu yuko ICU anatia UmbeaUsiwe seriously sana mkuu,
Kiufupi nikiwa nyumbani siangalii channels za bongo Mimi channels zangu ni Al Jazeera, BBC news, Nat Geo wild, Nat Geo, History, Supersport channels, Family, na za Kenya kwasababu ya Uchaguzi mkuu unaokujaHabari wana Jf , Hivi unawezaje ita kipindi cha umbea jina la Chumba ambacho ni chumba maalumu cha wagonjwa mahututi wanao pigania uhai wao ?
Kibaya zaidi unavaa sare za wahudumu na kuanza jadili umbea ,nadhani ni kebehi na kukos heshima kwa watumishi wa afya .
Basi unapitwa na vitu vingi vya nyumbaniKiufupi nikiwa nyumbani siangalii channels za bongo Mimi channels zangu ni Al Jazeera, BBC news, Nat Geo wild, Nat Geo, History, Supersport channels, Family, na za Kenya kwasababu ya Uchaguzi mkuu unaokuja
Kuna maeneo ni serious sana mkuuAcha kuchukulia kila vitu seriously, utaumiza akili yako bure