Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kilikuwa ni kikao cha Chama kinachoshika Dola?Hao makatibu wengine vyama vyao vinashika dola?
Walitangaza mapema?
Basi CHADEMA watakalofanya la maana ni kususia UCHAGUZI, Hapo nitawaona Wanaume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilikuwa ni kikao cha Chama kinachoshika Dola?Hao makatibu wengine vyama vyao vinashika dola?
Nakuunga Mkono safuher Bora wasusie Katiba ya sasa au UchaguziHayo machache ambayo yangewataka vyama vingine kwa nini waondoke wakati kuna machache yangewataka wao ?
Sio sahihi kususia huduma ndogo eti kwa sababu kuna huduma kubwa hauzipati.
Tumia hizo huduma ndogo huku ukizidai hizo kubwa.
Kabisa mkuu,lengo ilikuwa kumu attack mtu mmoja.Sema kweli hata mimi nimeona wamezingua.
Uwepo wao kwenye mdahalo ulipaswa kuonesha kuwa wameitikia wito kwa lengo la kujibu hoja zilizoandaliwa na host.
Lakini kitendo cha wao kususia mdahalo kinaleta picha kuwa lengo lao lilikuwa ni kumshambulia mtu mmoja na ndio maana huyo mtu alipotoweka na wao wameshindwa kuendelea kwasababu hoja zao zingekosa nguvu.
Ila laiti kama aim ya mdahalo ulikuwa ni kuhabarisha umma basi walikuwa na uwezo wa kuendelea na mjadala kwa faida ya wananchi.
Kama ni kikao cha chama dola basi kwa nini walialikwa vyama vingine.Kilikuwa ni kikao cha Chama kinachoshika Dola?
Walitangaza mapema?
Basi CHADEMA watakalofanya la maana ni kususia UCHAGUZI, Hapo nitawaona Wanaume
Wamezingua mno yani ni very disrespectful kwa hostKabisa mkuu,lengo ilikuwa kumu attack mtu mmoja.
NAdhani na hilo lilichangia kumtoa machozi bwana Odemba.
Utaishia kutukanwa hapa 🤣Kama ni kikao cha chama dola basi kwa nini walialikwa vyama vingine.
Katika hili wanaopaswa kulaumiwa wengine ni vyama pinzani,walikubaliana katika Ujinga.
KUna wakati mkuu unajiuliza inakuwaje wapinzani tunaotarajia washindane na CCM wanakuwa na akili kama hizi ?Utaishia kutukanwa hapa 🤣
Mkuu hata ukiangalia wananchi waliohudhuria pale kila mmoja anamshambulia bwana Nchimbi.Wamezingua mno yani ni very disrespectful kwa host
Unajua mimi mara nyingine nasema wapinzani hasa hapa TZ hawapo au ni wachache SANA, wengi wanafikiri upinzani ni kumu attack tu Mtu, na wengine wajinga zaidi wanafikiri ni kutukana tu WatuKUna wakati mkuu unajiuliza inakuwaje wapinzani tunaotarajia washindane na CCM wanakuwa na akili kama hizi ?
Au wanadhani kupambana na CCM kunataka NGUVU pekee na AKILI HAIHITAJIKI ?
najiuliza hiki wichofanya wapinzani wamwtumia nguvu ama akili ?
Kama wamwtumia akili wakafikia kuona kwamba akili ni kuondoka basi tuna wapinzani wa ovyo.
Hahah kabisa mkuu.Unajua mimi mara nyingine nasema wapinzani hasa hapa TZ hawapo au ni wachache SANA, wengi wanafikiri upinzani ni kumu attack tu Mtu, na wengine wajinga zaidi wanafikiri ni kutukana tu Watu
Kwa Mfano hapo inaonekana walikuwa wanamtamani sana Dr. Nchimbi ili wamuattack kwa niaba ya serikali ya CCM 🤣, Kumbe wangeweza tu kuendelea na kikao chao na kuwaambia Watazamani wao kama Vyama vya siasa wana mipango gani na wamejiandaaje na Uchaguzi
kwahioo sasa isssue sio Katibu tena wa CCM kutoroka bali ni hao wengine sio? tunakwepaHayo machache ambayo yangewataka vyama vingine kwa nini waondoke wakati kuna machache yangewataka wao ?
Sio sahihi kususia huduma ndogo eti kwa sababu kuna huduma kubwa hauzipati.
Tumia hizo huduma ndogo huku ukizidai hizo kubwa.