Kukiri Israel udhaifu wa "Ngao ya Chuma" na kutoweza kwake kujilinda na makombora ya Wapalestina

jollyman91

Member
Joined
Sep 21, 2021
Posts
69
Reaction score
29
Kamanda wa ulinzi wa anga wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba, mfumo wa kujilinda na mashambulizi ya makombora uliopachikwa jina la "Ngao ya Chuma" hauwezi kudhamini usalama wa utawala huo mbele ya vipigo vya makombora kutoka kwa wanamuqawama wa Palestina.

Kituo cha Upashaji Habari cha Palestina kimemnukuu Brigedia Jenerali Gilad Biran akikiri hayo katika mahojiano na tovuti ya habari ya Walla ya Kizayuni na kuongeza kuwa, mfumo wa Marekani wa kujilinda na makombora wa "Ngao ya Chuma" si njia sahihi ya kujikinga na makombora kutoka Gaza bali hiyo ni moja tu ya njia zilizopo hivi sasa za kupunguza maafa. Inapita miezi minne sasa tangu kulipotokkea vita vya Seif al-Quds. Vita hivyo vilivyokuwa baina ya utawala haramu wa Israel na makundi ya muqawama Palestina vilitokea Mei 11 hadi 21 mwaka huu.

Moja ya yaliyokuwa mambo muhimu ya vita hivyo ni kuwa, makundi ya muqawama wa Palestina yalivurumisha zaidi ya makombora 4,000 katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepewa jina bandia la Israel ambapo asilimia 85 ya makombora hayo yalifanikiwa kupenya katika Ngao ya Chuma.

Kanali ya Televisheni ya Lugha ya Kiebrania sanjari na kuashiria kwamba, makombora 4,000 yalivurumishwa kuelekea Israel katika vita vya siku 11, iliripoti kwamba, kilele cha kurushwa makombora hayo kutoka katika Ukanda wa Gaza ilikuwa ni siku ya pili ya vita hivyo ambapo takribani makombora 480 yalirushwa siku hiyo na kuanzia hapo wastani wa kurushwa makombora hayo ulikuwa makombora 250 hadi 400 kwa siku.

4by2c0eaafb40e1wc7d_800C450.jpg
Wanamapambano wa Palestina

Filihali kunaripotiwa udhaifu wa Ngao ya Chuma na kutokuwa na uwezo wa kujinda na makombora katika hali ambayo, utawala haramu wa Israel umegharamika pakubwa kwa ajili ya ngao hiyo. Baada ya vita vya siku 11 jarida la Financial Times lilionyesha kushangazwa mno na utendaji wa Ngao ya Chuma mkabala na makombora ya wanamapambano wa Palestina.

Mbali na mzigo wa gharama za fedha, kuna ripoti nyingi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zinaonyesha kuwa, udhaifu na kutokuwa na utendaji mzuri Ngao ya Chuma limekuwa chimbuko la kuongezeka hofu na woga na hata matatizo ya kisaikolojia miongoni mwa wakazi wa ardhi hizo. Katika uwanja huo, jumuiya moja ya Kizayuni imetoa ripoti ikieleza madhara ya kiroho na kinafsi waliyopata Waisrael na kutangaza kuwa, ushauri nasaha na uungaji mkono wa kisaikolojia ambao umekuwa ukitolewa na jumuiya hiyo kwa njia ya simu kwa ajili ya kutekeleza matakwa ya Waisrael katika uwanja huo uliongezeka maradufu wakati wa kujiri vita vya siku 11 vya Seiful-Quds. Matakwa mengi ya kuomba msaada wa kisaikolojia kwa jumuiya hiyo yalitoka kwa akina baba na akina mama ambao wanataabika na matatizo ya kisaikolojia kutokana na kuvurumishwa makombora kutoka katika Ukanda wa Gaza.

Filihali baada ya kupita miezi minne tangu kujiri vita hivyo, Brigedia Jenerali Gilad Biran, kamanda wa ulinzi wa anga wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amejitokeza na kukiri hadharani kwamba, mfumo wa kujilinda na mashambulizi ya makombora uliopewa jina la "Ngao ya Chuma" hauwezi kudhamini usalama wa utawala huo mbele ya vipigo vya makombora kutoka kwa wanamuqawama wa Palestina. Kuna nukta kadhaa katika katika kukiri huku kwa Brigedia Jenerali Gilad Biran.

4bso82ebf453b31jum3_800C450.jpg
Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa Israel

Nukta ya kwanza ni kuwa, makundi ya muqawama wa Palestina yameweza kuongeza nguvu za makombora yake kiasi kwamba, masafa ya makombora hayo na uwezo wake wa kufanya uharibifu umekuwa mkubwa zaidi ikilinganishwa na huko nyuma. Endapo kiwango cha umakini wa kulenga nacho kitaongezeka, hapana shaka kuwa, uwezekano wa utawala haramu wa Israel kupata pigo nao utaongezeka.

Nukta nyingine ni hii kwamba, licha ya kuwa katika vita vya siku 11 udhaifu wa mfumo wa kiulinzi wa utawala ghasibu wa Israel ulifichuka, lakini kukiri bayana na waziwazi Brigedia Jenerali Gilad Biran, kamanda wa ulinzi wa anga wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na jambo hilo, ni hatua ya kufanya juhudi za kuongezwa bajeti ya kukarabati na kuimarisha mfumo huo wa ulinzi. Kuhusiana na hilo, duru mbalimbali za habari zimeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ukiwa na nia ya kukarabati na kuimarisha mfumo wake wa ulinzi wa Ngao ya Chuma umeomba msaada wa dharura kutoka Marekani wenye thamani ya dola bilioni moja.

Nukta nyingine ni kuwa, kamanda wa ulinzi wa anga wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri udhaifu wa Ngao ya Chuma ya utawala huo katika kipindi ambacho uwezekano wa kuibuka vita baina ya utawala huo haramu na makundi ya mapambano ya Palestina umeongezeka mno katika siku za hivi karibuni.

Jumapili iliyopita utawala vamizi wa Israel uliwaua shahidi Wapalestina watano katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na makundi ya muqawama Palestina yametangaza kuwa, yatalipa kisasi cha damu ya mashahidi hao wa Kipalestina. Kukiri Brigedia Jenerali Gilad Biran, kamanda wa ulinzi wa anga wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel unaweza kutathminiwa pia kwamba, kunatokana na woga wa ulipaji kisasi tarajiwa kutoka kwa makundi ya mapambano ya Palestina.
 
Kimsboy....umekuja kivingine[emoji3][emoji3]
 
Kaka nakuona unavyojitahidi kuingilia ugomvi wa MAARABU NA MAYAHUDI 🤣😂😂😂😂
 
Wakristo huo ugomvi auwahusu Hao ndugu maana wayahudi sio wakristo msijinasibu nao nyie kwenu west [emoji304]
 
Back
Top Bottom