Kukishi wakati unapiga penati ni kosa?

Kukishi? hicho kiswahili cha migombani huko,huku minazini hatuna kiswahili cha hivyo
 
Kwenye draft kukishi ni kuomba kete uile. Mfano ukiingia king halafu spot uliyoingilia kunakua na jete mbele za kuweza kula utasikia "Double kish hiyo haya vesha jongo"
 
uko
Kwenye draft kukishi ni kuomba kete uile. Mfano ukiingia king halafu spot uliyoingilia kunakua na jete mbele za kuweza kula utasikia "Double kish hiyo haya vesha jongo"
vizuri kidraft
 
Cjui aisee hii n ya mchangan
Nmetolea mfano kuna alie sema
Hajui maana ya kukish
Ujue mpigaji hakukishi bali alinyuti kwenye point ya kupiga ila kukishi haina shida wakati unaelekea kupiga mkwaju.
 
MPIGAJI HAKUKISHI BALI ALINYUTI !!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…