Kukithiri kwa ulawiti wa watoto wa kiume nchini,ni universe ina boycott

Vipi kuhusu Malaya wanao jiuza? Nature inasemaje?
Malaya ni wanawake ambao nature imewachagua ili kuwasaidia vijana wa kiume wanao nyanyaswa na mfumo huu unao wanyima haki Yao ya kiasili ya kufanya ngono.

Sasa mnapokosea ni kuwanyanyasa na hawa Malaya ambao nature imewachagua kwa ajili ya kusaidia watu wake.
Mnazidi kuiprovoke nature

Hasira zote za nature zinahamia kwa watoto wenu wa kiume
 
LIKUD sijakubaliana na uzi wako kwa asilimia 100, ila kuna hili swali huwa najiulizaga.

Kwanini kuna uwezekano mkubwa sana wa mwanaume anaempa mimba binti wa form 4 kwenda jela miaka 30, kuliko shoga anaejulikana na kila mtu mtaani kwenda jela , wakati sheria imeweka wazi kuwa mtu ikithibitika ameruhusu kulawitiwa inatakiwa afungwe miaka 30 jela?

Yani mwanaume ukimpa mimba binti wa sekondari kuna uwezekano mkubwa utatafutwa hadi na kuku ili ukafungwe jela, ila mwanaume ukiwa shoga, hata kama jamii ikijua, kuna uwezekano mkubwa kuwa hamna mtu atahangaika kukushtaki.

Kipindi kile makonda anakamata mashoga dar, James delicious nae alikamatwa, akawekwa mahabusu akaja tolewa kwa dhamana ya million 5, mpaka leo kimya, hamna mtu aliemshtaki James delicious kuwa shoga, na kusambaza idea ya ushoga kwenye mitandao, ni nguvu gani inayo-promote na ku-push hii dhambi ya ushoga, na wanaoi-promote wanafaidika nini, mimi nashindwaga kuelewa LIKUD Poor Brain Xi Jinping Natafuta Ajira Mzee wa kupambania DR HAYA LAND PSL god Evelyn Salt Nuzulati Ms R Natafuta Ajira
 
Hao boys 15-18 na girls 15-18
Wakipewa nafasi ya kusex
What next?
Yani itangazwe kwamba Boys wawe huru kucheza na girls (Teens)
What next?
Bora wapewe elimu ya kujicontrol
 
Wabadili iwe sheria mpya
 
Ni mother nature ana express her disapproval of what is going on in the society.

Mnavyo wa harrass marijali namna hiyo, mama nature anapata ujumbe kwamba ninyi katika jamii yenu hamuwahitaji marijali. So ana punish kwa kuruhusu ushoga na mashoga kwenye jamii yenu.

Mother nature huwalipa watu kwa namna ya kipekee Sana.

Mfano mke umemuua mume ili urithi Mali, mother nature ataelewa kwamba hiyo familia haihitaji " Mume mwema" So as a result watoto Wa kike kwenye familia hiyo hawatakuja kuolewa Kabisa na wakiolewa itakuwa labda wao ndio watakuwa wameoa kifupi hawataolewa na mume atakae penda na kujali familia na kuwa na Mali Kama baba Yao.

Mama una mtesa binti Wa kazi, unapeleka ujumbe kwenye universe kwamba mtoto Wa kike anatakiwa kuteswa , as a result Kama una binti basi na yeye atakuja kuwa housegal na atateswa na kama ataolewa basi kwenye ndoa yake atateswa Kama housegal.

The truth of the matter is, Jamii inamuhitaji zaidi mwanaume alie mpa ujauzito binti Wa miaka kumi na Saba kuliko shoga Wa umri wowote ule
 
Hao boys 15-18 na girls 15-18
Wakipewa nafasi ya kusex
What next?
Yani itangazwe kwamba Boys wawe huru kucheza na girls (Teens)
What next?
Bora wapewe elimu ya kujicontrol
Huwezi kuicontrol nature.
 
WATOTO walio balehe wanabaka hadi Mbuzi huko vijijini wewe unasema mentality. Achana na balehe wewe
Kuna dogo tulimfuma anabaka kuku 🤣🤣
Mwingine enzi nikiwa mdogo nilisikia alikua na tabia ya kubaka mbuzi.
 
Back
Top Bottom