DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Everything is in ur controlWATOTO walio balehe wanabaka hadi Mbuzi huko vijijini wewe unasema mentality. Achana na balehe wewe
Everything is in ur controlWATOTO walio balehe wanabaka hadi Mbuzi huko vijijini wewe unasema mentality. Achana na balehe wewe
LIKUD sijakubaliana na uzi wako kwa asilimia 100, ila kuna hili swali huwa najiulizaga.
Kwanini kuna uwezekano mkubwa sana wa mwanaume anaempa mimba binti wa form 4 kwenda jela miaka 30, kuliko shoga anaejulikana na kila mtu mtaani kwenda jela , wakati sheria imeweka wazi kuwa mtu ikithibitika ameruhusu kulawitiwa inatakiwa afungwe miaka 30 jela?
Yani mwanaume ukimpa mimba binti wa sekondari kuna uwezekano mkubwa utatafutwa hadi na kuku ili ukafungwe jela, ila mwanaume ukiwa shoga, hata kama jamii ikijua, kuna uwezekano mkubwa kuwa hamna mtu atahangaika kukushtaki.
Kipindi kile makonda anakamata mashoga dar, James delicious nae alikamatwa, akawekwa mahabusu akaja tolewa kwa dhamana ya million 5, mpaka leo kimya, hamna mtu aliemshtaki James delicious kuwa shoga, na kusambaza idea ya ushoga kwenye mitandao, ni nguvu gani inayo-promote na ku-push hii dhambi ya ushoga, na wanaoi-promote wanafaidika nini, mimi nashindwaga kuelewa LIKUD Poor Brain Xi Jinping Natafuta Ajira Mzee wa kupambania DR HAYA LAND PSL god Evelyn Salt Nuzulati Ms R Natafuta Ajira
Uingereza age of consent ni miaka 16.Kwa heshima kabisa Mkuu LIKUD ji-update kuhusu sheria kiongozi. Upo na mtazamo wa sheria za zamani sana au labda haufahamu mambo yakisheria.
SHeria yetu imebadilika sana na kwakiwango kikubwa haipo hivyo unavyoiongelea.
Pia kosa la ubakaji wa kisheria ni kosa ambalo lipo kwenye nchi nyingi duniani na kuna nchi zimeenda mbali hadi miaka 21 hivyo hoja yako haiwezi kisimama dhahiri.
Suala la ulawiti kuongezeka nchini lina sababu nyingi sana ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kuripotiwa kwa matukio hayo ya ulawiti wa watoto. Lakini kama tutaangalia takwimu ni wazi matukio yamepungua sana kutoka vijana wanne kati ya kumi hadi wastani wa kijana mmoja kwa takwimu za sasa.
Rudia upya
Hapana mkuu hizi mada kuna sister angu lazima awepo..
Ulawiti...!!!? Ngoja tuone nasoma mdogo mdogo hapa mkuuNope sihamasishi usheitwani mkuu
Mbona hiyo nature haiadhibu ccm na serikali yake ??Nope sihamasishi usheitwani mkuu
Kivipi wakati wanateka ,wanadhulum wanaiba mali za ummaKwa sababu CCM is not a part of nature
Ngoja nimtag tu cocastic 😂Hapana mkuu hizi mada kuna sister angu lazima awepo..
Alafi mkuu hii mada ukisoma.juu unaweza ona kama upo hapa kuhamasisha hv
Daaah 😂😂😂🙌🙌 huu ugomvi hakuna mtu wa kuweza kuuamulia mkuu 😂😂😂😂😂😂😂mkuu mi simoNgoja nimtag tu cocastic 😂
LIKUD is a good writer but anaandika imaginations zake most of the time kama other jf fellas wanaoongelea homosexuality without being informedVery lame.