Kukithiri kwa ulawiti wa watoto wa kiume nchini,ni universe ina boycott



Ukitaka kuwa safe kaa mbali na wanawake na kaa mbali na watoto .
 
Kwa heshima kabisa Mkuu LIKUD ji-update kuhusu sheria kiongozi. Upo na mtazamo wa sheria za zamani sana au labda haufahamu mambo yakisheria.

SHeria yetu imebadilika sana na kwakiwango kikubwa haipo hivyo unavyoiongelea.

Pia kosa la ubakaji wa kisheria ni kosa ambalo lipo kwenye nchi nyingi duniani na kuna nchi zimeenda mbali hadi miaka 21 hivyo hoja yako haiwezi kisimama dhahiri.

Suala la ulawiti kuongezeka nchini lina sababu nyingi sana ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kuripotiwa kwa matukio hayo ya ulawiti wa watoto. Lakini kama tutaangalia takwimu ni wazi matukio yamepungua sana kutoka vijana wanne kati ya kumi hadi wastani wa kijana mmoja kwa takwimu za sasa.

Rudia upya
 
Uingereza age of consent ni miaka 16.

Marekani baadhi ya states ni miaka 18, nyingine 17 nyingine 16.

Philippines ilikuwa 12 wakaongeza 16 sasa hivi wananchi wanataka iwe 14.

Zambia 16,

South Africa 17.

Angola 12.
Saudia 14.
Cape Verde 14.


Nchi kibao tu ni miaka 14 .

Re-Check your facts
 
Huu uzi uwezi kumkosa dada angu..
Yaani nasemaje atakuja humu hata kama hawajamtag
 
Daaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ huu ugomvi hakuna mtu wa kuweza kuuamulia mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mkuu mi simo
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…