Kukithiri kwa ulawiti wa watoto wa kiume nchini,ni universe ina boycott

someone reacted positively to this lol

Homosexuality isn't a modern concept Likud. Read history books
 
LIKUD is a good writer but anaandika imaginations zake most of the time kama other jf fellas wanaoongelea homosexuality without being informed
Sip kweli
 
100 percent facts
Kwahiyo hivyo vivulana vya miaka 17 hata vikipewa uhuru wa kulala na yeyote bado vitalawiti na kubaka.

Turudi kwenye mzizi, tuangalie sababu za ulawiti na ubakaji.
1. Matumizi ya madawa ya kulevya na pombe.
2. Udadisi na kutaka kujaribu.
3. Malezi mabovu...mtoto anaisi kwenye mazingira ambayo usiku kucha anasikia miguno na vilio vya watu wazima wakifanya mapenzi.
4. Mmomonyoko wa maadili ktk jamii. Wakubwa huwaharubu watoto wakiwa bado ktk umri wa chini zaidi
 
Sheria zetu ndiyo chanzo cha mambo mengi mabaya hata kataa ndoa chanzo ni sheria zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…