Kukojoa Hadharani yawa Fashion Dar aibu na adhabu kali vihusike?

Kila mtaa inatakiwa uwe na public toilet ya Bure ambayo Ina wafanyakazi wa manispaa 24hrs kwa ajili ya usafi. Haiwezekani Kodi zinakusanywa huduma muhimu hakuna au zipo mbali au za kulipia mtu akipatwa dharura hiyo anailipulia popote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…