kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
Ukilenga shabaha unalowanisha godoro Mkuu, mwishowe sehemu ya kulala inakuwa kero kwa unyevunyevu, wanaingiza kabisa Mkuu.Kuhusu swali la kwanza...
Huwa wanaingiza kabisa uume kwenye chupa? Nilidhani wanalenga shabaha tu.
Mkojo una salts nyingi. Hayo magadi itakuwa residual ya hizo salts baada ya kukauka kwa solvent.
HahahaUkilenga shabaha unalowanisha godoro Mkuu, mwishowe sehemu ya kulala inakuwa kero kwa unyevunyevu, wanaingiza kabisa Mkuu.
sertile = sterileKama mnashare sio vizuri kama kuna contact unaweza kupata Urine Transmitted Infections kwasababu normaly mkojo uko 'sertile' unapotoka kwenye kibofu lakini baada ya kuwa exposed una attracts microbes na hivyo unakua na bacteria waoweza kusababisha magonjwa.
Ni vizuri ukatumia choo safi ili kulinda afya yako
Jamaa wa ajabu kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Sasa mpk kushuka kitandani anaogopa anapigia juu kwa juu?
Siyo woga, ni uvivu unaosababishwa na usingizi wa uchovu wa pilikapilika za kazi ngumu za mchana kutwa.Mwanaume unakuwa na kopo la kukojolea ndani ina maana unaogopa nini kutoka usiku!?.
Wanaume wa Dar wakipeana trick za kupata haja pasi'nakushuka vitandani mwao....wazee mnaniangusha sana,hivi mwanaume unashindwa nini kuachia kitanda na kutoka nje kwenda kujisaidia hadi ukojoe kwenye makopo?tena bila hata kusimama kushusha miguu chini?ikiwa mwanaume utakojoa kwenye chupa tena ndani ya neti mkeo atafanyaje,si atajikojolea kitandani kabisa?ila nahisi huu ni utani!
Mimi ni wa mkoani wakuu, sina hata chembe ya woga. Ninavyokojoa kwenye chupa siyo woga, ni uvivu unaosababishwa na shughuli nyingi za mchana kutwa.Wanaoogopa kutoka wengi ni wale wa Dar, madhara kwenye mfumo wa mkojo ni lazima mkuu
Acha kebehi Mkuu, kukojoa kwenye chupa ni jambo la kawaida, siyo kwa mwanamke wala kwa mwanaume. Inavyoelekea akili yako muda wote inawaza kihasihasi tu.Duh wanaume wa dar uwe unaomba watu wakusindikize si vzr kiafya tena unatumbukiza kwenye chupa yenye hewa nzito
Chupa ya kukojolea hadi kitandani? Hata kama choo kipo kwa jirani siyo kwa hali hii.Ukilenga shabaha unalowanisha godoro Mkuu, mwishowe sehemu ya kulala inakuwa kero kwa unyevunyevu, wanaingiza kabisa Mkuu.
Ni ajabu kukojolea kwenye makopo mwanaume!..Ni kama dalili ya Uoga hivi, choo hata kama kipo nje ya nyumba sitaki amini kipo mita 100 toka unapoishi labda kama ni kijijini.Mimi ni wa mkoani wakuu, sina hata chembe ya woga. Ninavyokojoa kwenye chupa siyo woga, ni uvivu unaosababishwa na shughuli nyingi za mchana kutwa.
Halafu mwanaume kukojolea kwenye kopo siyo ajabu, hiyo desturi ipo tangu enzi na enzi.
Kwa hiyo msiotumia makopo kujisaidia msione kitu cha kigoigoi.