kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
- Thread starter
- #21
Kwenda kule!!Hahahahaa. Kwani lazima kushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda kule!!Hahahahaa. Kwani lazima kushauri
huyo sio mzima mkuu, mwanaume kabisa anakojoa kwenye kopo asubuhi huyooo na likopo lake anaenda kumwaga mkojo, hicho chumba kitakuwa kinanuka sanaHahaha
Sasa mpk kushuka kitandani anaogopa anapigia juu kwa juu?
Ni ajabu kwa sababu wewe hujawahi kukojoa kwenye kopo.Ni ajabu kukojolea kwenye makopo mwanaume!..Ni kama dalili ya Uoga hivi, choo hata kama kipo nje ya nyumba sitaki amini kipo mita 100 toka unapoishi labda kama ni kijijini.
Halafu kuna baadhi ya desturi zilifanyika miaka hiyo kutokana na mazingira sasa mtu msomi wa JF unalojoa kwenye kopo ukisema kawaida!!..
Wengine tunakunywa maji mengi, kutoka mara kwa mara inakuwa kero. Ndiyo maana tunaamua kuwa na chupa pembeni.Chupa ya kukojolea hadi kitandani? Hata kama choo kipo kwa jirani siyo kwa hali hii.
Wewe ndiyo siyo mzima.huyo sio mzima mkuu, mwanaume kabisa anakojoa kwenye kopo asubuhi huyooo na likopo lake anaenda kumwaga mkojo, hicho chumba kitakuwa kinanuka sana
Self container? Basi sawaKhaaaa ina maana nyie wote hamna room self container! [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Si ndivyo ilivyo kwa wanaume wa jf!!Self container? Basi sawa
Wanafikiri kila mtu humu JF anaishi kwenye self container. Wengine tupo mikoani ndanindani kabisa.Self container? Basi sawa
Kuna kijiji nilienda kuna baridi ya kufa mtu sikuwahi kukojoa kwenye kopo ila niliweza aisee manake ukitoka nje ukirudi ndani usingizi wote kwishnee na kitanda ni baridi hatari.Wewe ndiyo siyo mzima.
Wengi mnakurupuka, hamuelewi vizuri.
Nakojoa kwenye chupa yenye mdomo mwembamba, nikishamaliza naifunga, kwa hiyo harufu yote inabaki ndani ya chupa, chumbani kwangu hakuna harufu.
Ahaa!! Kumbe nawe unakojoleaga kwenye chupà!! Umejuaje kuna magadi??!Nyakati za usiku, wengine ni uvivu kuinuka kwenda chooni kujisaidia haja ndogo, baadala yake wanatumia kopo, ndoo au chupa kujisaidia haja ndogo.
Swali langu lipo kwenye hawa wanaotumia chupa yenye mfuniko, yaani akishamaliza kukojoa, anaifunga kwa mfuniko.
Maswali:
(1) Lile joto kali linalokuwa kwenye chupa linalosababishwa na kufunga chupa kwa mfuniko kwa muda mrefu halina athari kwenye uume?
(2) Ukitumia chupa au kopo kwa muda mrefu, kwenye kopo au chupa kunabaki vitu kama magadi, yale magadi ni nini?
Asanteni.
Uvivu na Uchovu gani unaouongelea wanaume wenzio hatuupitii!?...Ni ajabu kwa sababu wewe hujawahi kukojoa kwenye kopo.
Siyo dalili ya woga, ni uvivu na uchovu.
Kukojoa kwenye makopo ni desturi iliyokuwepo, iliyopo na itakayokuwepo, ipo kwa sababu za kiusalama na kuokoa muda.
Usomi isiwe tiketi ya kifungo cha kutofanya mambo mengine.
Huu ni uvivu wa flyover yani hata kusogea ukafanyia pembeni imeshindikana? Anyway sijui kama ina madhara kwa kweli maana sidhani pia kama ni kila siku na mara nyingiUkilenga shabaha unalowanisha godoro Mkuu, mwishowe sehemu ya kulala inakuwa kero kwa unyevunyevu, wanaingiza kabisa Mkuu.
Chupa ukishaitumai muda mrefu, kwa chini kabisa ndani ya chupa, kunabaki vitu fulani rangi nyeupe.Ahaa!! Kumbe nawe unakojoleaga kwenye chupà!! Umejuaje kuna magadi??!
Acha ku-complicate mambo.Uvivu na Uchovu gani unaouongelea wanaume wenzio hatuupitii!?...
Kisomi huwezi kojoa kwenye kopo unless mazingira kutoka nje ya chumba chako wakati husika ni hatari!..Huoni unaacha harufu ya mikojo chumbani?..
Tamaduni zingine zilifaaa zife kadiri ya kipindi kinavyoenda!..kwa utaratibu wako hata ukiishi kwenye Self contained room utakuwa na kopo si mvivu kushuka kitandani na kutembea
Kwa taarifa yako asilia 80 ya watanzania wote wanakojoa kwenye makopo, kama hukojoi kwenye kopo usione ajabu, tunaokojoa kwenye chupa ni wengi kuliko msiokojoa.Au atakua anaishi s'wanga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] anaogopa radi
Tuseme ni mara kwa mara, kwa sababu muda wote nakuwa nimekunywa maji mengi.Huu ni uvivu wa flyover yani hata kusogea ukafanyia pembeni imeshindikana? Anyway sijui kama ina madhara kwa kweli maana sidhani pia kama ni kila siku na mara nyingi
Watu mnanishambulia tu, bila ya kuniambia madhara yake ni nini.Hayo mambo ukizoea hata ukilala Master bedroom bado utakojolea makopo kwako kisingizio cha uchovu na usingizi. Huo ni "UVIVU" ℅√
Duniani kuna maajabu/vituko sana. Kushuka kitandani mtu anashindwa!!!!??Hahaha
Sasa mpk kushuka kitandani anaogopa anapigia juu kwa juu?