Kukojoa kwenye chupa yenye mfuniko, halafu kila saa inafungwa mfuniko, kuna athari yoyote?

Ni ajabu kwa sababu wewe hujawahi kukojoa kwenye kopo.
Siyo dalili ya woga, ni uvivu na uchovu.
Kukojoa kwenye makopo ni desturi iliyokuwepo, iliyopo na itakayokuwepo, ipo kwa sababu za kiusalama na kuokoa muda.
Usomi isiwe tiketi ya kifungo cha kutofanya mambo mengine.
 
huyo sio mzima mkuu, mwanaume kabisa anakojoa kwenye kopo asubuhi huyooo na likopo lake anaenda kumwaga mkojo, hicho chumba kitakuwa kinanuka sana
Wewe ndiyo siyo mzima.
Wengi mnakurupuka, hamuelewi vizuri.
Nakojoa kwenye chupa yenye mdomo mwembamba, nikishamaliza naifunga, kwa hiyo harufu yote inabaki ndani ya chupa, chumbani kwangu hakuna harufu.
 
Wewe ndiyo siyo mzima.
Wengi mnakurupuka, hamuelewi vizuri.
Nakojoa kwenye chupa yenye mdomo mwembamba, nikishamaliza naifunga, kwa hiyo harufu yote inabaki ndani ya chupa, chumbani kwangu hakuna harufu.
Kuna kijiji nilienda kuna baridi ya kufa mtu sikuwahi kukojoa kwenye kopo ila niliweza aisee manake ukitoka nje ukirudi ndani usingizi wote kwishnee na kitanda ni baridi hatari.
 
Ahaa!! Kumbe nawe unakojoleaga kwenye chupà!! Umejuaje kuna magadi??!
 
Uvivu na Uchovu gani unaouongelea wanaume wenzio hatuupitii!?...
Kisomi huwezi kojoa kwenye kopo unless mazingira kutoka nje ya chumba chako wakati husika ni hatari!..Huoni unaacha harufu ya mikojo chumbani?..
Tamaduni zingine zilifaaa zife kadiri ya kipindi kinavyoenda!..kwa utaratibu wako hata ukiishi kwenye Self contained room utakuwa na kopo si mvivu kushuka kitandani na kutembea
 
Ukilenga shabaha unalowanisha godoro Mkuu, mwishowe sehemu ya kulala inakuwa kero kwa unyevunyevu, wanaingiza kabisa Mkuu.
Huu ni uvivu wa flyover yani hata kusogea ukafanyia pembeni imeshindikana? Anyway sijui kama ina madhara kwa kweli maana sidhani pia kama ni kila siku na mara nyingi
 
Hayo mambo ukizoea hata ukilala Master bedroom bado utakojolea makopo kwako kisingizio cha uchovu na usingizi. Huo ni "UVIVU" ℅√
 
Acha ku-complicate mambo.
We' si' unaishi maisha laini, ukinywa maji bilauri moja, mchezo umekwisha!. Kwa tunaokunywa maji mengi utatoka mara ya kwanza na ya pili, utaona uvivu kutokatoka kila mara kwenda kukojoa, unaamua usisumbuke. Halafu kukojoa kweny chupa siyo mila, ni desturi.
Usomi usiwe sababu ya kuishi kama mfungwa.
 
Au atakua anaishi s'wanga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] anaogopa radi
Kwa taarifa yako asilia 80 ya watanzania wote wanakojoa kwenye makopo, kama hukojoi kwenye kopo usione ajabu, tunaokojoa kwenye chupa ni wengi kuliko msiokojoa.
Tabia ya kukojoa kwenye chupa siyo ya mjini wala kijijini. Usikariri kwamba kukojoa kwenye kopo ni vijijini.
 
Huu ni uvivu wa flyover yani hata kusogea ukafanyia pembeni imeshindikana? Anyway sijui kama ina madhara kwa kweli maana sidhani pia kama ni kila siku na mara nyingi
Tuseme ni mara kwa mara, kwa sababu muda wote nakuwa nimekunywa maji mengi.
 
Hayo mambo ukizoea hata ukilala Master bedroom bado utakojolea makopo kwako kisingizio cha uchovu na usingizi. Huo ni "UVIVU" ℅√
Watu mnanishambulia tu, bila ya kuniambia madhara yake ni nini.
Waliochangia cha maana ni wachache sana mpaka muda huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…