Kukojoa ndani ya swimming pool sio uungwana

Tena kojo la njano kabisaaa
 
Sio poa, kuna place moja nilienda mitaa ya Kunduchi jamaa kaingia swimming pool na demu wake akambambia akidhani hatuoni, kumbe tunawachora tu walivyotuchafulia maji wakatuharibia weekend yetu, swimm nyingi ni accumulation ya uchafu wa kila aina waswahili hatuna maana.
 
Baharini mabomba yote ya Mwananyamala hospital, muhimbili, aga khan, posta yote na kariakoo, yale ma** ya wa--maize na pilipili yanaelekezwa baharini, sasa afadhali ipi, mkojo wetu au ma-V ya posta na muhimbili?
Kwa bahari ivyo vitu ni negligible mkuu
 
Swimming pool ninayotumia iko Na Na choo / washroom hapo jirani. Unajimwagia Maji, toa kimba Na kojoa kabisa kabla ya kuingia kuogelea.

Ukibanwa Na haja unatoka fasta choo kiko hapo jirani. Si mbali
 
Nafikiri kukojoa si issue sana maana maji ni mengi na yana dawa...ila haja kubwa kidogo inakuwa tatizo.
 
Swimming pool ninayotumia iko Na Na choo / washroom hapo jirani. Unajimwagia Maji, toa kimba Na kojoa kabisa kabla ya kuingia kuogelea.

Ukibanwa Na haja unatoka fasta choo kiko hapo jirani. Si mbali
Almost zote za public ziko hivi, unatakiwa ukajimwagie maji kabla ya kuingia kwenye pool.
 
JF kweli nyoko....

Siku zote nilikuwa najua wewe ni mwanaume...
 
Nilikwenda kuogelea baharini ile napiga mbizi kuibuka nakutana na papa mdogo,a.k.a Kimba
Ninasubiri stendi ya Magufuli pale,nakumbuka nimeingia nikakuta jamaa katulia as if yuko hotelini.
Kuogelea kwenye hayo madude nilishashindwa. Baharini
 
[emoji23]
 
Siogi tena kwenye swimming pool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…