Kukopeshana hela mtaani kwa riba ni biashara iliyoshamiri na inalipa sana

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Tunaendelea kujikakamua . Tutatoboa tu.

Kuna mtindo ambao ulianza kama masihara huko nyuma lakini sasa umepamba moto sana na unazidi kuota mizizi mno siku zinavyozidi kusogea.

Kukopeshana hela mtaani kwa riba:

Watu wengi saivi wanakopesha na kukopeshwa kwa riba sana mtaani. Unakuta mtu ana shida ya ghafla anaamua kujitia kitanzi anaenda kwa mtu mwenye vihela kidogo kukopa pesa kwa riba kwa muda fulani.

Mfano: Mtu anaenda kukopa laki 1 kwa siku 30 na atarudisha TZS 160.000 (Riba ni TZS 60.000).

Watu wanakopesha unarudisha 60 % kama faida. Kwa mkopeshaji inalipa sana.Kwa mkopeshwaji inakula sana.

Ni biashara halali au haramu?

Maana siku hizi watu wanakopa mtaani zaidi kuliko benki.
 
Tunaendelea kujikakamua . Tutatoboa tu.

Kuna mtindo ambao ulianza kama masihala huko nyuma lakini sasa umepamba moto sana na unazidi kuota mizizi mno siku zinavyozidi kusogea.

Kukopeshana hela mtaani kwa riba:

Watu wengi saivi wanakopesha na kukopeshwa kwa riba sana mtaani. Unakuta mtu ana shida ya ghafla anaamua kujitia kitanzi anaenda kwa mtu mwenye vihihela kidogo kukopa pesa kwa riba kwa muda fulani.

Maana siku hizi watu wanakopa mtaani zaidi kuliko benki!
biashara haramu huwa zinalipa sana.
 
Subiri watakaposhidwa kurudisha marejesho. Unaenda kwake kumdai unakuta hata kuku wa kufidia ya nusu hasara hana.
 
Tunaendelea kujikakamua . Tutatoboa tu.

Kuna mtindo ambao ulianza kama masihala huko nyuma lakini sasa umepamba moto sana na unazidi kuota mizizi mno siku zinavyozidi kusogea.

Kukopeshana hela mtaani kwa riba:

Watu wengi saivi wanakopesha na kukopeshwa kwa riba sana mtaani. Unakuta mtu ana shida ya ghafla anaamua kujitia kitanzi anaenda kwa mtu mwenye vihihela kidogo kukopa pesa kwa riba kwa muda fulani.

Mfano: Mtu anaenda kukopa laki 1 kwa siku 30 na atarudisha TZS 160.000 (Riba ni TZS 60.000).

Watu wanakopesha unarudisha 60 % kama faida. Kwa mkopeshaji inalipa sana.Kwa mkopeshwaji inakula sana.

Ni biashara halali au haramu?

Maana siku hizi watu wanakopa mtaani zaidi kuliko benki!

Ila default rate ya mikopo hii ya mitaani ni kubwa sana na mwisho wake wakopeshaji hawana jinine zaidi ya kutishia maisha na kukamata mali duni za wadaiwa kama kama makochi, tv, n.k.
 
kukopesha pesa bila kibali cha BOT ni kosa kisheria. Kibali cha bot ni leseni. Wengi wanaofanya hii biashara hawajui hadi siku wameshindwana kulipana na kupelekana polisi ndio wanajua ni haramu.
 
Riba ni haramu na ni dhambi kubwa.
Ni dhambi kama hela anakwenda kuiweka chini ya godoro lakini kama anakwenda kuifanyia kazi ruksa alipe riba.

Kumbuka wale jamaa 3 wakiopewa taranta...
 
Uhalali na uharamu umeuzungumzia katika upande upi hapo mana kuna kisheria na kidini........

Kwamfano kuna dini inakataza kabisa riba na riba ni haramu kabisa yani hairuhusiwe.....

Kisheria ni halali maana huo unakua ni mkataba(contract) ilimradi ifate taratibu zote za kusheria tu......

Kibinadamu tu katika hali ya kawaida aisee inaumiza sana mana kama huo mfano ulioutoa wa 60% sio kitoto, sema tu unakuta mtu hauna jinsi inabidi kufanya hivyo......
 
Ni dhambi kama hela anakwenda kuiweka chini ya godoro lakini kama anakwenda kuifanyia kazi ruksa alipe riba.

Kumbuka wale jamaa 3 wakiopewa taranta...

Achana nao hekaya za abunuwasi ndugu. Tazama jambo katika uhalisia wake mkuu.

Ahsante.
 
Riba ni haramu na ni dhambi kubwa.
Ni kweli. Sifa njema zinamstahiki Allah aliyetukuka na hakika yeye anawachukia sana watu wanaokula riba. Bahati mbaya kwa namna dunia hii jinsi inavyokwenda msobe msobe usipoingia kwenye huo mtego wa riba basi mshukuru Mungu tu ila asilimia kubwa ya unafuu wa maisha unapatikana kwa kula riba, usipokula, au kupokea riba kwa mfumo kwa dunia hii ya sasa utakufa masikini tu. Nimepata kumsikia mtu mmoja akisema; hata hizi bank za Kiislamu zinakula riba ila ya kisirisiri ingawa sijalithibitisha hili moja kwa moja.
 
Tunaendelea kujikakamua . Tutatoboa tu.

Kuna mtindo ambao ulianza kama masihara huko nyuma lakini sasa umepamba moto sana na unazidi kuota mizizi mno siku zinavyozidi kusogea.

Kukopeshana hela mtaani kwa riba:

Watu wengi saivi wanakopesha na kukopeshwa kwa riba sana mtaani. Unakuta mtu ana shida ya ghafla anaamua kujitia kitanzi anaenda kwa mtu mwenye vihela kidogo kukopa pesa kwa riba kwa muda fulani.

Mfano: Mtu anaenda kukopa laki 1 kwa siku 30 na atarudisha TZS 160.000 (Riba ni TZS 60.000).

Watu wanakopesha unarudisha 60 % kama faida. Kwa mkopeshaji inalipa sana.Kwa mkopeshwaji inakula sana.

Ni biashara halali au haramu?

Maana siku hizi watu wanakopa mtaani zaidi kuliko benki.
Sifa kubwa unayotakiwa kuwa nayo wewe mkopeshaji ni UTATA kuna mama mmoja kitaani kwetu anafanya biashara hii ni mtata balaa! Mteja wake akipitiliza siku Ni Moto! Alikuwa mpangaji tu pale mtaani kwetu sasa anamiliki nyumba NNE!
 
Wengi wanafanya ile mtu hasa mfanyakazi anaacha ATM card!
 
Ni kweli. Sifa njema zinamstahiki Allah aliyetukuka na hakika yeye anawachukia sana watu wanaokula riba. Bahati mbaya kwa namna dunia hii jinsi inavyokwenda msobe msobe usipoingia kwenye huo mtego wa riba basi mshukuru Mungu tu ila asilimia kubwa ya unafuu wa maisha unapatikana kwa kula riba, usipokula, au kupokea riba kwa mfumo kwa dunia hii ya sasa utakufa masikini tu. Nimepata kumsikia mtu mmoja akisema; hata hizi bank za Kiislamu zinakula riba ila ya kisirisiri ingawa sijalithibitisha hili moja kwa moja.

Walaa Ta Akuluuna Fiy Butwuunihim Illan Naar. A'udhubillah Min Dhaalik.

Alhamdulillah.
 
Back
Top Bottom