Kukopeshana hela mtaani kwa riba ni biashara iliyoshamiri na inalipa sana

Shukrani sana mkuu kwa nyongeza ya elimu uliyonipa, kwahiyo sasa kwamfano na vile vikundi kwa VICOBA pia vinasimamia humu humu kwenye maelezo yako?

Mkuu kwa bahati mbaya sikuwahi jihusisha na vikoba... ila uhalali wake kukopesha kwa riba ni ku qualify kua lending institution kwa maana ya kupata kibali kutoka BOT kitu ambacho nina mashaka nacho ( sijawahi sikia kikoba kilicho qualify in law to be a landing institution [emoji23][emoji23])
 
Hahah!! Mimi pia sidhani mkuu mana wengi hufanya kwa mazoea tu....

Ubarikiwe sana kiongozi
 
Uhalali na uharamu umeuzungumzia katika upande upi hapo mana kuna kisheria na kidini........

Kwamfano kuna dini inakataza kabisa riba na riba ni haramu kabisa yani hairuhusiwe.....

Kisheria ni halali maana huo unakua ni mkataba(contract) ilimradi ifate taratibu zote za kusheria tu......

Kibinadamu tu katika hali ya kawaida aisee inaumiza sana mana kama huo mfano ulioutoa wa 60% sio kitoto, sema tu unakuta mtu hauna jinsi inabidi kufanya hivyo......
Kisheria sio halali kwa mtu binafsi kukopesha pesa, ni taasisi za kifedha kama mabenki na mifuko ya hifadhi ya jamii, pamoja na vikundiki vilivosajiliwa kama VICOBA, na hapo hakuna mkataba (kisheria) rejea Law of contracts act CAP 345, section 24

Pia soma hii

SERIKALI imetangaza kuwasaka na kuwafikisha katika vyombo vya dola wafanyabiashara wa mitaani wanaokopesha fedha kwa riba bila kuwa na leseni ya biashara hiyo.

Pamoja na wafanyabiashara hao, Waziri wa Katiba na Sheria Dk Harrison Mwakyembe ameomba wananchi wasaidie kuwafichua askari Polisi na mahakimu wanaowapa nguvu wafanyabiashara hao kinyume na sheria (2017)
 
Aiseee! shukrani sana mkuu kwa elimu Mungu akubariki
 
They are called Loan Sharks for a reason.
 
Hata kisheria ni haramu, ni loan sharks hizo, sio halali kisheria.
Uhalali na uharamu umeuzungumzia katika upande upi hapo mana kuna kisheria na kidini........

Kwamfano kuna dini inakataza kabisa riba na riba ni haramu kabisa yani hairuhusiwe.....

Kisheria ni halali maana huo unakua ni mkataba(contract) ilimradi ifate taratibu zote za kusheria tu......

Kibinadamu tu katika hali ya kawaida aisee inaumiza sana mana kama huo mfano ulioutoa wa 60% sio kitoto, sema tu unakuta mtu hauna jinsi inabidi kufanya hivyo......
 
Kisheria sio halali kwa mtu binafsi kukopesha pesa, ni taasisi za kifedha kama mabenki na mifuko ya hifadhi ya jamii, pamoja na vikundiki vilivosajiliwa kama VICOBA, na hapo hakuna mkataba (kisheria) rejea Law of contracts act CAP 345, section 24

Pia soma hii

SERIKALI imetangaza kuwasaka na kuwafikisha katika vyombo vya dola wafanyabiashara wa mitaani wanaokopesha fedha kwa riba bila kuwa na leseni ya biashara hiyo.

Pamoja na wafanyabiashara hao, Waziri wa Katiba na Sheria Dk Harrison Mwakyembe ameomba wananchi wasaidie kuwafichua askari Polisi na mahakimu wanaowapa nguvu wafanyabiashara hao kinyume na sheria (2017)
mkuu kama VICOBA ni halali kukopesha wakati hakuna sheria maalumu iliyo cover hivyo vikundi isipokuwa wanategemea contract Act, maana yake kila anayekopesha atasema yeye ni VICOBA
 
Na ukimkopesha mtata ndio utajua kama inalipa kwa mkopaji au mkopwaji.?
Kabisa mkuu...maana ukifanya biashara ya kukopesha lazima upate leseni kutoka bank kuu.

Sasa ukijua sheria ulipi deni na akupeleke popote pale, wengi wanakopesha kienyeji sana mtaani.
 
kukopesha pesa bila kibali cha BOT ni kosa kisheria. Kibali cha bot ni leseni. Wengi wanaofanya hii biashara hawajui hadi siku wameshindwana kulipana na kupelekana polisi ndio wanajua ni haramu.
Nakubaliana na wewe mkuu.
 
Riba ni haramu na ni dhambi kubwa.
sio kweli labda enzi za mitume ,unajua value for money? laki moja ya leo ni tofauti na laki moja ya mwakani .riba nin kama compensation .
washika dini wengi hawana maendeleo kwa kuchanganya economics law na imani
 
Kabisa mkuu...maana ukifanya biashara ya kukopesha lazima upate leseni kutoka bank kuu.

Sasa ukijua sheria ulipi deni na akupeleke popote pale, wengi wanakopesha kienyeji sana mtaani.
siku nyingine ukipata shida ndio utajua kwamba we ni mjanja au fala
 
Biashara ya kukopa kwa riba au kukopesha kwa riba ni dhambi kwa wote wawili, kuanzia kwa mkopaji na mkopeshaji. Lakini huo ni mtazamo kwa IMANI yangu!!!!!!
hapo imani yako ni upuuzi yani mwanangu anaumwa ghafla niache kukopa eti naogopa riba so nimuache afe
 
Back
Top Bottom