Kwa bahati mbaya wanaume wengi wanakosa tiba sahihi za nguvu za kiume kwa kushindwa kutambua dawa anazopata zinatibu tatizo gani la nguvu za kiume.
Zifuatazo ni aina ya matatizo ya nguvu za kiume
1. Kukosa uwezo wa kuendelea baada ya bao la kwanza
2. kokojoa kwa haraka
3. uume kulegea wakati wa tendo
4. Kukosa hamu ya tendo kabisa
5. kutoweza kusimamisha kabisa
6. Kutokua na uwezo wa kutia mimba
7. kutokua na uwezo wa kukojoa sperm nyingi
8. kutokua na uwezo wa kurusha sperm vizuri
9. Kushindwa kufanya vyema kwa baadhi ya wanawake na kufanya vyema kwa wengine
10. Kutamanani kupiga nyeto na kukosa hamu ya mapenzi na wanawake
11. kukosa hamu na wanawake na kutamani kuingilia wanaume tu
Musipende kutumia madawa kiholela, wagongwa wa ini ni wengi kwa kutumia madawa yanatolewa hovyo na wasaka tonge.