Kukosa hamu ya tendo la ndoa

Kukosa hamu ya tendo la ndoa

geesten66

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
2,042
Reaction score
2,370
Habari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa.

Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla.

Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa.

Je nitakua nina matatizo kiafya.
 
Habari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa. Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla.
Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa. Je nitakua nina matatizo kiafya.
Mkuu huna matatizo yeyote. Ni hali ya kawaida tu.
 
Hali ya Uchumi wako kwa Sasa ikoje kwani?

Huna migogoro na mkeo?

Mkeo anaperfom vizur kweli KWENYE tendo?

Ukiamka asbh unasimamisha au imelala?

Jibu kwanza ayo

Sent using Jamii Forums mobile app
1,uchumi nipo vizuri 2,kuhusu mgogoro nilikua namuogopa kutokana na wazazi wake wameuana kisa wivu wa kimapenzi ila nilisha sahau 3. Mashine ipo vizuri
 
Mleta mada tafuta hela. Huna hamu ya mgegedo kwasabb ya stress ya umaskini.
 
Habari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa. Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla.
Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa. Je nitakua nina matatizo kiafya.
Kapime sukari, vipi mechi za nje? Wife kakatwa au fresh?
 
Habari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa. Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla.
Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa. Je nitakua nina matatizo kiafya.

Una mke...lakini

Huna hisia za kupenda wanawake au mahusiano kwa ujumla...

Umeamua kumsafirisha mke wako kurudi kwao kwa kuwa huna hisia naye kabisa...

Ushauri:
Utakuwa na stress tu wewe...
Kuhusu mkeo, waachie wataokuwa na hamu naye...
 
Ni ngumu kupata jibu kwa sababu ya tatizo hilo linasababishwa na changamoto nyingi: za kisaikolojia, kibailojia na mtindo wa maisha

All in all, Sababu zote zinaeñda kudelay uzalishwaji wa homoni ya testosterone ambayo ndio kichocheo kikuu cha hisia za kimapenzi (sexual drive)

Unaweza ukawa na changamoto o za
1️⃣ Kibailojia kama vile uzito mkubwa, presha, kisukari, magonjwa ya moyo, Hormonal imbalance (mvurugiko wa homoni), nk

2️⃣ Matatizo ya kisaikolojia: huzuni na msongo wa mawazo

3️⃣Mfumo wa maisha: Ulaji wako, unywaji wako, ulaji wako, kufanya mazoezi vyote vinachangia kwenye tatizo

Mahojiano ya kina yanahitajika,,

Kama hautojali karibu pm, Mimi ni ambassador wa kampuni ya forever, for sure nimewasaidia watu wengi kwenye changamoto za kiafya ikiwemo Upungufu wa nguvu za kiume

karibu sana
 
Back
Top Bottom