mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Msaada ni mwezi sasa na wiki kadhaa sioni siku zangu… nimeshapima mara kadhaa Hakuna mimba… Itakuwa ni nini wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Mkuu?Msaada ni mwezi sasa na wiki kadhaa sioni siku zangu… nimeshapima mara kadhaa Hakuna mimba… Itakuwa ni nini wakuu
Ni mimba..subiri subiri....
Habari Mkuu?
Kwanza, pole kwa Changamoto.
Cha kufahamu ni kuwa kuchelewa kuona siku zako hutokea mara kadhaa kutokana na hali ya mhusika.
Sababu zinazoweza kusababisha kuchelewa kwa hedhi ni msongo wa mawazo, ugonjwa, matumizi ya uzazi wa mpango, kubadilika kwa hormone, nk.
Hivyo, kabla ya kujua tatizo ni nini unapaswa kujiuliza mwenyewe kama kuna hali isiyo ya kawaida uliipitia siku chache kabla ya kufikia tarehe zako ama unapitia hata sasa.
Umri wako
Tayari
Kumbee basi hapo labda hormonal changes..[emoji23][emoji23][emoji23] mimba gani na nilishaingia miezi 2 after sex so huu niliokosa ilibidi iwe wa 3 kuingia but sijaingia na nishapimA mara zaidi ya 3 Hakuna