Kukosa hedhi mwezi mmoja

Kukosa hedhi mwezi mmoja

mamamzungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2019
Posts
2,554
Reaction score
4,271
Msaada ni mwezi sasa na wiki kadhaa sioni siku zangu… nimeshapima mara kadhaa Hakuna mimba… Itakuwa ni nini wakuu
 
Habari Mkuu?

Kwanza, pole kwa Changamoto.

Cha kufahamu ni kuwa kuchelewa kuona siku zako hutokea mara kadhaa kutokana na hali ya mhusika.

Sababu zinazoweza kusababisha kuchelewa kwa hedhi ni msongo wa mawazo, ugonjwa, matumizi ya uzazi wa mpango, kubadilika kwa hormone, nk.

Hivyo, kabla ya kujua tatizo ni nini unapaswa kujiuliza mwenyewe kama kuna hali isiyo ya kawaida uliipitia siku chache kabla ya kufikia tarehe zako ama unapitia hata sasa.
 
Ni mimba..subiri subiri....

[emoji23][emoji23][emoji23] mimba gani na nilishaingia miezi 2 after sex so huu niliokosa ilibidi iwe wa 3 kuingia but sijaingia na nishapimA mara zaidi ya 3 Hakuna
 
Situmii uzazi wa mpango, sina mawazo ugonjwa ninasumbuliwa hasa na mafua sijajua labda kama mabadiliko ya hormone
 
Na mimi ni hoji. Hivi mtu alie weka kijiti cha uzazi wa mapango aki kitoa ana weza kupata mimba hili hali aja ingia period toka akitoe??
Dr Restart
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mimba gani na nilishaingia miezi 2 after sex so huu niliokosa ilibidi iwe wa 3 kuingia but sijaingia na nishapimA mara zaidi ya 3 Hakuna
Kumbee basi hapo labda hormonal changes..
 
Back
Top Bottom